MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Samia Aendeleza Kampeni Mwanza, Azungumza na Wananchi Misungwi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Samia Aendeleza Kampeni Mwanza, Azungumza na Wananchi Misungwi
Habari

Samia Aendeleza Kampeni Mwanza, Azungumza na Wananchi Misungwi

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
MWANZA: MGOMBEA nafasi ya Rais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan, leo Oktoba 7, 2025, ameendelea na kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa chama hicho katika Mkoa wa Mwanza.
Katika ziara hiyo, Samia amekutana na kuzungumza na wananchi pamoja na wanachama wa CCM katika wilaya ya Misungwi, ambapo amesisitiza umuhimu wa mshikamano, amani na maendeleo endelevu kwa Watanzania wote.
Habari Picha 9787
Hii ni sehemu ya muendelezo wa mikutano ya kampeni inayoendelea kufanyika nchi nzima kuelekea uchaguzi mkuu ujao.

You Might Also Like

Hakuna Mabadiliko Ya Vituo Vya Kazi Kwa Watumishi Wapya Wa Umma Kwa Sasa -Kikwete

Kasulu Yatoa Mafunzo Utumiaji wa Mfumo Wa Kieletroniki Kwa Wakuu wa Divisheni, Vitengo

Msigwa Asisitiza Mabonanza Ya Michezo Na Sio Kukusanyika Kuvuruga Amani

Rais Samia azindua skuli ya maandalizi Tasani

Sh. Bilioni 883.93 Zatumika Kutekeleza Miradi ya Maji, Usafi wa Mazingira

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article KINABO: NICHAGUENI NILETE MAJI, BARABARA KIBAMBA
Next Article TEA, UNICEF na Canada waendeleza mageuzi ya elimu Sikonge
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

VETA kumpa nafasi Igobeko kuongeza ujuzi na kuwawezesha wengine
Habari August 23, 2026
Airtel Yajenga Darasa La Fursa Katika Shule Ya Sekondari Magaoni,Tanga
Habari August 23, 2026
Bunifu ya dawa ya mayai yapunguza hasara kwa wafugaji wa kuku
Makala August 22, 2026
Dkt Yonaz Awakumbusha Vijana Kulinda Afya Zao Katika Mapambano Dhidi Ya Ukimwi
Habari August 22, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?