MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Vitongoji 1997  Vimepatiwa Huduma Ya Umeme, Kilimanjaro  
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Vitongoji 1997  Vimepatiwa Huduma Ya Umeme, Kilimanjaro  
Habari

Vitongoji 1997  Vimepatiwa Huduma Ya Umeme, Kilimanjaro  

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

MWENYEKITI  wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB),  Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, ameeleza kuwa jumla ya vitongoji 1,997 sawa na asilimia 88.4 kati ya vitongoji 2,260 vimeshapatiwa huduma ya umeme kupitia miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), iliyopita na inayoendelea kutekelezwa katika mkoa wa Kilimanjaro.

Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu amebainisha hayo wakati wa ziara ya kutembelea utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini, Pamoja na kuzungumza na Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya REA ambapo ameweza kushuhudia wananchi wakiunganishiwa huduma ya umeme Wilaya ya Hai mkoani humo.

Habari Picha 9179

REA inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali katika mkoa huu kwa kasi zaidi ukiwa na lengo la kuwapatia huduma za nishati wananchi wote ili kuboresha huduma za kijamii katika maeneo hayo ya vijijini,” Amesema Balozi Kingu.

Ameeleza kuwa, mkoa wa Kilimanjaro una jumla ya vijiji 519 ambapo vijiji vyote 519 sawa na asilimia 100 vimepata huduma ya umeme kupitia miradi ya REA iliyotekelezwa katika mkoa huo.

Habari Picha 9180

 

Kwa upande wake, Mhandisi Miradi wa REA mkoa wa Kilimanjaro  Kelvin Melchiad, amesema  REA inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali mkoani humo ikiwa ni sehemu ya mkakati wa Wakala wa kufikisha umeme kwa wananchi wote nchini.

“Katika mkoa huu jumla ya miradi miwili ya kusambaza umeme vitongojini inatekelezwa ambayo ipo katika hatua za utekelezaji  ukiwemo mradi wa kusambaza umeme kwenye vitongoji (Hamlets Electrification Project HEP 2A), ” Amesema  Melchiad.

Halikadhalika, Serikali kupitia REA imetoa jumla ya kiasi cha sh bilioni 32.7 ili kuhakikisha miradi ya umeme inatekelezwa mkoani humo na wananchi wanapatiwa huduma ya umeme ili kuwapatia maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

Habari Picha 9181

 

Kwa upande wake, Diwani Mstaafu wa Kitongoji cha Lomate Elinisaah Kileo, amemshukuru Rais Samia kwa kuiwezesha REA kuweza kupeleka huduma ya umeme katika eneo hilo hali inayokwenda kuchochea maendeleo yao.

You Might Also Like

Chalamila Asema Serikali Inafanyia Kazi Changamoto, Mradi Wa Mabasi Yaendayo Haraka

Wakulima Wa Zabibu Wakiri Bidhaa Zilizoongezwa Thamani Zina Soko

Tanzania Kidedea Tuzo Ya Mashindano Ya Kimataifa  Usalama wa Barabara

Kamati YA Siasa Yaendelea Kukagua Miradi Ya Maendeleo Temeke

Serikali Yaendesha Warsha Kujenga Ushirikiano Na washirika Wa Maendeleo  

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Majaliwa Apongeza Jeshi La Magereza Kurasimisha Ujuzi Kwa Wafungwa
Next Article Tanzania Kuweka Muongozo wa Kitaifa wa Usimamizi wa Takwimu Kidijitali
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Twendeni Tukapige Kura Ya Ukombozi, CHAUMMA Yahitimisha Kampeni
Habari October 28, 2025
Elimu Ya Nishati Safi Ya Kupikia Yawafikia Maofisa Dawati Ngazi Ya Mikoa Na Halmashauri
Habari October 27, 2025
Wananchi wahamasishwa kuandika historia mpya kupitia kura
Habari October 25, 2025
Shibuda: WanaMaswa jitokezeni kupiga kura bila woga
Habari October 25, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?