DODOMA: Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA), Selemani Msuya (kushoto), pamoja na Mwekahazina wa chama hicho, Lucy Ngowi (kulia), wakiwa kwenye picha ya pamoja na Msajili wa Vyama vya Wafanyakazi na Waajiri Tanzania, Vallensi Wambali (katikati), mara baada ya kuwasilisha ripoti ya ukaguzi wa hesabu za JOWUTA.
