MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mbinu Mpya za Kilimo kwa Vijana Zapata Umaarufu Nanenane Banda La VETA
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mbinu Mpya za Kilimo kwa Vijana Zapata Umaarufu Nanenane Banda La VETA
Habari

Mbinu Mpya za Kilimo kwa Vijana Zapata Umaarufu Nanenane Banda La VETA

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA: MWALIMU wa Ufundi wa zana za kilimo ambaye pia ni Mtaalamu wa Kilimo, Gema Tarimo amekua akifundisha utumiaji wa dawa za asili kulinda mimea kwa vijana na wadau wa kilimo.
Gema amesema hayo kwenye Maonesho ya Nanenane ya Kitaifa na Kimataifa yanayoendelea mkoani Dodoma.
Amesema pia anawapa ujuzi vijana  wa kuziendesha zana za kilimo, kuzirekebisha na kuchomelea zinapoharibika.
Amesema, ” Kupitia ubunifu wa bustani inayotembea, vijana wanafundishwa jinsi ya kulima hata wakiwa na eneo dogo la nyumbani.
“Bustani hii hutumia vikopo vidogo, viroba, na vifaa vya kawaida vinavyopatikana kirahisi bila kuchafua mazingira,”.
Amesema mbolea ya bustani hutengenezwa kwa kuchanganya uchafu wa vyakula kama nyanya na mboga mboga pamoja na udongo.
” Minyoo huongezwa ili kusaidia katika uundaji wa mbolea, na mimea humwagiliwa maji kidogo yanayochuruzika polepole, hivyo kusaidia uhifadhi wa maji,” amesema.
Amesema Mfumo huo wa kilimo ni wa gharama nafuu, unaotunza mazingira na kuwapatia vijana maarifa ya kujitegemea kupitia kilimo cha miji.

You Might Also Like

Tanzania Kushirikiana na Finland Uboreshaji Mbegu za Miti

Mongella Atoa Maagizo Maalum Kwa Viongozi CCM

TARURA yaimarisha ubora wa barabara kwa kuwa na maabara mikoani

Tume Yapongeza OCPD kwa Mabadiliko ya Sheria

TFS Yashiriki Maonesho ya Nane ya Madini Geita

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article VETA Yatahadharisha Changamoto ya Kuzidisha Uchanganyaji wa Chakula Cha Mifugo
Next Article Ofisa wa TARI Kuwapo Kila Kituo cha Umwagiliaji – Naibu Katibu Mkuu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?