MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: VETA Yatahadharisha Changamoto ya Kuzidisha Uchanganyaji wa Chakula Cha Mifugo
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > VETA Yatahadharisha Changamoto ya Kuzidisha Uchanganyaji wa Chakula Cha Mifugo
Habari

VETA Yatahadharisha Changamoto ya Kuzidisha Uchanganyaji wa Chakula Cha Mifugo

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA: UZIDISHAJI wa  uchanganyaji wa chakula cha mifugo ni changamoto inayowakabili wafugaji wengi nchini.
Mwalimu wa Fani ya Afya ya Wanyama na Uzalishaji kutoka Chuo cha Ufundi Stadi ( VETA) mkoani Singida., Ladslous Chemele amesema hayo katika maonesho ya Nanenane ya Kitaifa na Kimataifa yanayoendelea mkoani Dodoma.
Amesema malighafi zinazotumika kutengeneza chakula cha mifugo zimegawanyika katika makundi matatu, na kila kundi lina kiasi maalum kinachotakiwa kuzingatiwa kulingana na aina ya mnyama na hatua ya ukuaji aliyonayo.
“Ukizidisha kwa vifaranga, protini inazidi kiwango kinachotakiwa, na hilo huleta madhara kiafya. Kwa kuku wanaotaga, wakinenepa kupita kiasi ovari hujaa mafuta na hushindwa kutaga vizuri. Vilevile, chakula kikipungua virutubisho, huweza kukosa madini au kutaga yai na kulila,” amesema.
Kwa upande wa ng’ombe wa maziwa, Chemele amesema kuwa iwapo hawatapata chakula bora chenye virutubisho vya kutosha, miili yao hupungua uzito na uzalishaji wa maziwa hushuka.
Pia amesema chuo hicho hutoa mafunzo ya muda mrefu na mfupi kwa Watanzania wanaopenda kujifunza masuala ya afya ya mifugo na uzalishaji.
Chemele ameeleza kuwa mafunzo ya muda mrefu huchukua miaka miwili hadi mitatu, na ya muda mfupi huanzia miezi miwili na kuendelea. Mafunzo hayo yanatolewa kwa kila Mtanzania mwenye nia ya kujifunza.
Amesema wanafundisha utengenezaji wa chakula cha kuku wa mayai, wa nyama, chotara na wa kienyeji
Vile vile chakula cha ng’ombe wa maziwa na wa nyama kama chakula cha ziada, Utengenezaji wa chakula cha nguruwe, bata maji na njiwa.
Chemele amesema  mtu yeyote anayefika chuoni hapo hufundishwa kwa kuzingatia miongozo sahihi ya kutengeneza chakula chenye ubora kwa mifugo, kwa kutumia viwango vinavyokubalika kitaalamu.

You Might Also Like

Watanzania Tuendelee Kudumisha Amani-Dk Biteko

Makamanda Wa Polisi Msiende Nyumbani na Vyeo Vya Ukamanda

NBS: Utumiaji Wa Takwimu Nyenzo Muhimu Kwa Mama Lishe

Wazazi washauriwa kusomesha watoto useremala

Majaliwa Awaagiza Wahandisi Kuzingatia Miiko, Maadili  Ya Taaluma Yao

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article UDSM Yaanzisha Mkakati Kuokoa Nyuki Wadogo
Next Article Mbinu Mpya za Kilimo kwa Vijana Zapata Umaarufu Nanenane Banda La VETA
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Tume ya Kurekebisha Sheria Yaelimisha Umma Kuhusu Haki za Wanyama
Habari August 6, 2025
Bundi Wasaidia Kupambana na Panya: Teknolojia Asilia Inayobadili Maisha ya Wakulima
Habari August 6, 2025
Ofisa wa TARI Kuwapo Kila Kituo cha Umwagiliaji – Naibu Katibu Mkuu
Habari August 6, 2025
Mbinu Mpya za Kilimo kwa Vijana Zapata Umaarufu Nanenane Banda La VETA
Habari August 6, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?