MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TARI Yaja Na Jawabu 88 Juu Ya Tindikali, Chumvi Kwenye Udongo
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TARI Yaja Na Jawabu 88 Juu Ya Tindikali, Chumvi Kwenye Udongo
Habari

TARI Yaja Na Jawabu 88 Juu Ya Tindikali, Chumvi Kwenye Udongo

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
MOROGORO:  MATUMIZI ya chokaa ya kilimo ni suluhishoi katika kukabiliana na changamoto za tindikali na chumvi chumvi kwenye udongo ambazo hupunguza kwa kiasi kikubwa tija ya kilimo nchini.
Mratibu wa Utafiti na Ubunifu kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Kituo cha Mlingano Tanga. Dkt. Sibaway Mwango amesema hayo katika Maonesho ya Nanenane ya Mwaka huu 2025, Kanda ya Mashariki yanayofanyika katika Uwanja wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mkoani Morogoro.
Amesema chokaa ya kilimo inapaswa kuwekwa wakati wa maandalizi ya shamba, kabla ya kupanda au kuweka mbolea, ili kuondoa tindikali na kurekebisha usawa wa virutubisho.
Ametaja mikoa ya Nyanda za Juu Kusin ambayo ni  Iringa, Njombe, Songwe, Rukwa na Katavi,
Pia mikoa ya  Kusini ambayo ni Ruvuma na Mtwara, Magharibi ya Kati ambayo ni  Singida, Tabora, Kigoma na Kanda ya Ziwa,  Bukoba, Geita na Mara imeathirika kwa kiwango kikubwa cha tindikali,
Hali inayosababisha upotevu wa zaidi ya asilimia 50 ya mbolea inayowekwa shambani na hatimaye kusababisha upungufu mkubwa wa mavuno.
Katika Nanenane ya mwaka huu, TARI Mlingano imejikita kuhamasisha wakulima na wadau juu ya umuhimu wa kupima afya ya udongo kabla ya kilimo, kama hatua ya msingi ya kilimo chenye tija na endelevu.
Wakulima wanahimizwa kufika katika banda la TARI Mlingano wakiwa na sampuli za udongo ambapo hupimiwa bure na kupewa ushauri wa kitaalamu.
Mbali na utafiti wa udongo, TARI Mlingano ina jukumu la utafiti wa zao la mkonge, na inatarajiwa kupewa majukumu mapya ya kufanya tafiti kuhusu mazao ya jamii ya michungwa pamoja na viungo.
Katika Maonesho ya Wakulima (Nanenane) 2025, TARI kupitia Kituo cha Mlingano, imewasilisha mbinu hizo kama sehemu ya mikakati ya kulinda afya ya udongo na kuongeza mavuno kwa wakulima.
TARI Mlingano imeandaa miongozo mbalimbali kwa njia ya ramani za udongo zinazobainisha changamoto kuu za afya ya udongo, ikiwa ni pamoja na ongezeko la tindikali na chumvi chumvi katika maeneo mbalimbali ya nchi.

You Might Also Like

Ridhiwan Kikwete aitaka LESCO kushirikiana na serikali

OUT yaunda Kamati ya Ufuatiliaji na Tathmini Mradi wa HEET

Watafiti, Wabunifu Waendelezwe Wasivunjwe Moyo- Biteko

Samia, Nchimbi Kuchukua Fomu Ya Urais Kesho

Dodoma Yazizima Wakati Samia, Nchimbi  Wakichukua Fomu Ya Urais

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TARI Yawaalika Wakulima Kujifunza Teknolojia Bora 88 Mkoani Morogoro
Next Article SADC Yatathmini Maendeleo ya Mpango wa RISDP Katika Mkutano wa 45 Madagascar
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Serikali Yaweka Mkazo Kufufua Viwanda Musoma Ili Kuongeza Ajira
Habari April 24, 2026
Program Ya Mama Samia Ya Kurasimisha Ujuzi Yazinduliwa
Habari April 23, 2026
TEA, Wizara ya Elimu Zanzibar Kushirikiana Kuimarisha Miradi ya Elimu
Habari April 23, 2026
Bajeti Yadhihirisha Uhakika Wa Nishati Nchini
Habari April 23, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?