MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Chinyeli Aahidi Chakula Bure kwa Wazee, Mwanyemba Kupambana Kutafuta Maendeleo
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Chinyeli Aahidi Chakula Bure kwa Wazee, Mwanyemba Kupambana Kutafuta Maendeleo
Habari

Chinyeli Aahidi Chakula Bure kwa Wazee, Mwanyemba Kupambana Kutafuta Maendeleo

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Danson Kaijage
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Dodoma Mjini kupitia CCM, Paschal Chinyeli, ameahidi kutoa chakula bure kwa wazee wote endapo atachaguliwa kuwa mbunge.
Akihutubia mkutano wa CCM Kata ya Nala, Chinyeli amesema anatambua changamoto ya uhaba wa chakula, hivyo atahakikisha visima vinachimbwa ili kuwezesha kilimo cha uhakika na hatimaye wazee kupata chakula bila malipo.
“Nikipata nafasi ya kuwa mbunge, nitahakikisha tunapata visima vya kutosha ili kulima chakula cha kuwatosheleza wazee,” ameahidi Chinyeli.
Amesema pia atatumia uhusiano wake na viongozi wa taasisi mbalimbali nchini, hasa TANESCO, kuhakikisha maeneo yenye changamoto ya umeme yanaunganishwa haraka.
“Nimesoma na Mkurugenzi wa TANESCO. Nikizungumza naye, anatuletea umeme kwa haraka,” amesema.
Katika mkutano huo, mgombea mwingine, Abdulhabib Mwanyemba, amesema atapambana kila sehemu kutafuta maendeleo ya jimbo hilo endapo atapewa ridhaa.
Maswali ya wajumbe wengi yalihusu ajira kwa vijana, miundombinu na upatikanaji wa maji katika kata hiyo.

You Might Also Like

Waziri Mkuu Kumwakilisha Dkt Samia Ivory Coast

Takribani watu 200 Wamepata Ushauri Wa Kibingwa Wa Ubongo, Mifupa 

Salum Mwalim: Nitarejesha Hadhi ya Kanda ya Ziwa na Kuinua Zao la Pamba

Timu Wizara Ya Nishati Zawasili Tayari Kwa Bonanza

Mbunge wa Monduli Aahidi Kusimamia Changamoto za Jimbo Lake

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ajira kwa Vijana na Afya kwa Wazee: Ajenda Kuu za Wagombea Jimbo la Dodoma Mjini
Next Article Rais Samia Aweka Jiwe La Msingi Kongani Ya Kwala
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?