MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TASAC Yashuhudia Utiaji Saini  Mkataba Wa Uendeshaji Bandari Kavu Kwala
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TASAC Yashuhudia Utiaji Saini  Mkataba Wa Uendeshaji Bandari Kavu Kwala
Habari

TASAC Yashuhudia Utiaji Saini  Mkataba Wa Uendeshaji Bandari Kavu Kwala

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) leo Julai 28, 2025, limeshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya pamoja kati ya taasisi sita kuhusu uendeshaji wa Bandari Kavu ya Kwala, hafla iliyofanyika Ukumbii wa Mikutano wa Bandari.
Makubaliano hayo yanalenga kuratibu uhamasishaji, uhifadhi na ukabidhiwaji wa mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Bandari Kavu ya Kwala, ikiwa ni hatua muhimu katika kuongeza ufanisi wa shughuli za bandari nchini.
Mkurugenzi Mkuu TASAC, Mohammed Salum amesema tukio hilo linaonesha mshikamano wa kiudhibiti na uwazi katika maandalizi ya nyaraka muhimu za uendeshaji wa bandari.
Amesema miongozo ya kiudhibiti inalenga kuhakikisha  bandari kavu haziathiri shughuli za kiuchumi na kijamii jijini Dar es Salaam.
Amesema  maeneo ya bandari kavu yanatakiwa kuwa na miundombinu ya kisasa ikiwemo reli na vifaa vya kutosha kuhudumia shehena, sambamba na kuwepo umbali wa angalau kilomita 30 kutoka bandari kuu ili kupunguza msongamano na kulinda usalama wa wakazi.
Aidha ametoa wito kwa wananchi kuunga mkono mpango huo, akisema kuwa uhamishaji wa mizigo kwenda Kwala ni fursa ya kuongeza ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam.
Taasisi zilizotia saini ni pamoja na
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Shirika la Reli Tanzania (TRC), Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),
Chama cha Mawakala wa Meli Tanzania (TASAA), Kampuni ya DP World na Tanzania East Africa Gateway Terminal Limited (TEAGTL)

You Might Also Like

Rais Samia Awasili Mwanza Kilele Cha Mbio za Mwenge

Ridhiwani Awataka Wananchi Kuboresha Taarifa Zao Tayari Kwa Uchaguzi Mkuu

Dkt  Biteko ashiriki  Kikao Cha Mawaziri  wa Nishati  Uganda

Rais Samia Aipa Neema Miradi Ya Kuzalisha Umeme Iringa

Dkt. Bwana: Tunafanya utafiti wa mbegu kutatua changamoto za wakulima

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mkutano Maalum wa CCM Kufanyika Kesho Mtandaoni
Next Article Wafanyakazi Majumbani Walia: ‘Tunaishi Katika Mazingira Hatarishi’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Jaji Mwambegele: Habari Sahihi ni Msingi wa Ushiriki Mpana wa Wananchi Kura 2025
Habari August 2, 2025
TARURA Yatoa Elimu Nane Nane
Habari August 2, 2025
Wakazi Wa Ntyuka Wataka Kiongozi Mchapakazi
Habari August 1, 2025
Kisaro Ahojiwa Kuhusu Migogoro ya Ardhi,  Mwinje Ajitosa na Suluhisho la Miundombinu na Umiliki wa Ardhi
Habari August 1, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?