MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TAWA Ni Mahali Sahihi Pa Uwekezaji  – Maganja
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TAWA Ni Mahali Sahihi Pa Uwekezaji  – Maganja
Habari

TAWA Ni Mahali Sahihi Pa Uwekezaji  – Maganja

Author
By Author
Share
3 Min Read
Na Mwandishi Wetu 
Wananch Wakaribishwa Kula NyamaPori Ya Kuchoma Sabasaba
DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), imesema serikali imeendelea kuimarisha mazingira bora na wezeshi kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi, hatua inayolenga kukuza uchumi wa Taifa kupitia sekta mbalimbali, hususan sekta ya utalii.
Ofisa Habari wa TAWA, Beatus Maganja amesema hayo katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Julius K. Nyerere yajulikanayo kama Sabasaba mkoani Dar es Salaam.
Amesema kutokana na serikali kuimarisha mazingira hayo,
taasisi hiyo inaendelea kuwakaribisha wawekezaji kuwekeza  katika maeneo mbalimbali ikiwemo utalii wa picha na uwindaji wa kitalii.
“Tunawaambia Watanzania na wawekezaji  wote kwa ujumla kuwa TAWA ni mahali sahihi kwa uwekezaji, unapotaka kuwekeza unakaribishwa sana.
“Ikumbukwe kuwa Serikali inayoongozwa na  Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa mazingira wezeshi Kwa wawekezaji wote wa ndani na nje ya nchi yetu,” amesema Maganja.
“Kama alivyofanya Mhe. Rais na sisi tunamuunga mkono Kwa kuhakikisha kwamba fursa hizi zinakuwa wazi Kwa wawekezaji wote na ndio maana tuko hapa kuwatangazia waje kuwekeza katika hii taasisi,” amesema.
Pia Maganja amesema TAWA inasimamia maeneo yenye rasilimali adimu, vivutio vya kipekee, na mandhari ya kuvutia ambayo yanatoa fursa kubwa ya uwekezaji endelevu kwa maslahi ya taifa na uhifadhi wa maliasili.
Ametaja baadhi ya maeneo yaliyo  tayari kwa uwekezaji  ni Hifadhi ya Makuyuni Wildlife Park (Arusha), Wami-Mbiki (Morogoro), Mpanga/Kipengere (Mbeya na Njombe), Tabora ZOO, Ruhila ZOO na maeneo mengine mengi yenye fursa mbalimbali.
Kwa upande wake, Ofisa Mhifadhi Mkuu kutoka TAWA, Dkt. Gladson Mlay amehamasisha wananchi kutembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika maonesho hayo, ambapo wanaweza kujionea wanyamapori hai wakiwemo simba, chui, fisi, mamba na spishi mbalimbali za ndege.
Pia amewaalika wananchi kuonja na kununua kitoweo cha nyamapori choma kilichoandaliwa kwa umahiri, akisema kuwa ni njia mojawapo ya kuhamasisha matumizi ya rasilimali za maliasili kwa njia endelevu.
“Kwa wale ambao wanasema hawajawahi Kula nyamapori choma, nyama hiyo ipo hapa, mishikaki pia ipo na nyama ya kupeleka nyumbani
“Kwahiyo watu  wote mnakaribishwa mje kuonja, Kula na kuona
Kweli maliasili ni za kwetu wote” amesema Dkt. Mlay

You Might Also Like

SIDO jengeni viwanda 20 Kila mkoa-Jafo

Tanzania Kwa Mara Nyingine Mwenyeji Kongamano La eLearning Afrika

Spika Ahoji Mwongozo Wa Wanaojitolea Kazin

VETA Dodoma Waleta Mashine Kurahisishia Upekechuaji Wa Alzeti

Nishati Safi Ya Samia Yawafikia Wanawake chalinze

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article VETA Kihonda Waja Na Mashine Ya Kusaga Chumvi Sabasaba
Next Article Rais Dk Mwinyi Kukata Keki Sabasaba
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

PSPTB Yatangaza Usajili wa Mitihani ya 31 ya Kitaaluma ya Ununuzi na Ugavi
Habari July 4, 2025
TARI Yatikisa Sabasaba Na Mti Wa ‘Allspice’
Habari July 4, 2025
TMDA Kudhibiti Bidhaa Za Tumbaku Ili Wananchi Wasiendelee Kupata Madhara
Habari July 4, 2025
Rais Dk Mwinyi Kukata Keki Sabasaba
Habari July 4, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?