MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Msomi Wa Afya, Fatuma Atia Nia Jimbo la Dodoma Mjini
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Msomi Wa Afya, Fatuma Atia Nia Jimbo la Dodoma Mjini
Habari

Msomi Wa Afya, Fatuma Atia Nia Jimbo la Dodoma Mjini

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: FATUMA Waziri amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) huku akiahidi kuendeleza mazuri yaliyofanywa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Anthony Mavunde.
Fatuma mwenye Elimu ya Shahada ya Uzamili kwenye Masuala ya afya amechukua fomu hiyo katika Ofisi za CCM, Wilaya ya Dodoma Mjini na kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya hiyo, Sophia Kabibi.
Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fomu,  amesema dhamira yake ni kuhakikisha anapaendeleza pale alipoishia aliyekuwa Mbunge wa Dodoma Mjini, Mavunde kwani amefanya kazi nzuri na ya kutukuka.

You Might Also Like

TEA Kukarabati Jengo La Bodi Ya Maktaba Kwa Milioni 300

TARURA yaimarisha ubora wa barabara kwa kuwa na maabara mikoani

Nchemba Afungua Mafunzo Ya PAC

Baraza La Madiwani Lampongeza Rais Samia Kwa Utekelezaji Wa Ilani

ATCL Yaanzisha Safari Za Moja Kwa Moja, Dubai Na Zanzibar

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Dkt. Mashimba Achukua Fomu Ya Kuwania Nafasi Ya Ubunge
Next Article Mchumi Ajitosa Kuwania Ubunge Manyoni
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Tunapokea Malalamiko Ya Wananchi, Tunayafanyia Kazi – Dario
Habari July 2, 2025
VETA Mtwara Yawafundisha Wanafunzi Uongezaji Thamani Kwenye Korosho, Mwani
Habari July 2, 2025
VETA Shinyanga Yatumia Kompyuta Kubuni Bidhaa 
Habari July 2, 2025
Wafanyakazi Wa Majumbani  700 Wapatiwa Mafunzo VETA
Habari July 2, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?