MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: JAB Yaanza Rasmi Kutoa Vitambulisho Kwa Waandishi Wa Habari
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > JAB Yaanza Rasmi Kutoa Vitambulisho Kwa Waandishi Wa Habari
Habari

JAB Yaanza Rasmi Kutoa Vitambulisho Kwa Waandishi Wa Habari

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Lyatuu

BODI ya Ithibati Ya Waandishi Wa Habari (JAB) imeanza rasmi kutoa kitambulisho maalum kwa wanataaluma hiyo hatua inayolenga kuimarisha usimamizi wa taaluma ya uandishi wa Habari.

Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Tido Mhando amesema hay oleo Dar es Salaam na kuongeza kuwa vitambulisho hivyo vitapatikana kwa njia ya  mtandao  kupitia mfumo wa TAI-Habari.

Akizungumza amesema  Bodi hiyo kuanza kutoa vitambulisho kwa waandishi wa Habari inasaidia kuwatambua rasmi na kuwasajili jambo linaloonesha kuwa watakuwa na uhalali na kurahisisha huduma nauhakiki kwa wanataaluma hao.

Amesema ili kupata kitambulisho hicho mwandishi wa habari peke yake ndiye anayestahili kutuma maombi yake kupitia mfumo  huo ambao ni https//taihabari.jab.gotz na kufuata maelekezo.

Aidha amesema ilikujisajili katika  mfumo huo  mwombaji anapaswa kuwa  namba ya sim una barua pepe vinavyofanya kazi,picha ndogo iliyoskaniwa,vyeti vya elimu vilivyoskaniwa, barua ya utambulisho kutoka taasisi anayotoka au anakopeleka kazi zake ikiw ani mwandishi wa kujitegemea.

Amesema mahitaji mengine anayopaswa kuwa nayo mwombaji ni nakala ya kitambulisho cha Taif ana ada ya ithibati sh 50,000.

Mhando amesema yapo mambo yakuzingatia wakati wa kutuma maombi ambayo ni Pamoja nav yeti kuwa halali na vilivyohakikiwa na mamlaka husika, taarifa ziwe sahihi kuepusha usumbufu na picha iwe ya hivi karibuni.

Amesema kitambusho cha JAB kinaweza kutumika mahali popote ambapo shughuli za kihabari zinafanyika na mahali popote ambapo mwandishi wa Habari anataka kufanya kazi ya kutafuta Habari isipokuwa maeneo maalum yaliyozuiliwa kisheria.

Kuhusu uhalali wa kitambulisho  hicho amesema kwa mujibu wa Sheria ya Huduma za Habari sura 229 inayounda Bodi hiyo aliyethibitishwa atapewa kitambulisho ambacho kitakuwa ndio uthibitisho.

Amesema atakayepewa kitambulisho ni mwandishi wa Habari halali aliyethibitishwa kwa kipindi kilichoainishwa katika kanuni cha miaka miwili, mmiliki wa kitambulisho anaweza kuomba kwa Bodi kuhuisha kitambulisho chake baada ya  muda kuisha na mmiliki atalipia malipo yaliyoainishwa.

 

You Might Also Like

Februari Mwaka Huu Wafanyabiashara Kariakoo Kurejea, Wenye Madeni Waagizwa Kulipa

Majaliwa Awaagiza Wahandisi Kuzingatia Miiko, Maadili  Ya Taaluma Yao

 Rais Samia aipongeza REA

Dkt. Tumbo Aitaka Jamii Kuelimishwa Namna Bora Ya Kuhifadhi Taka

Kameta awaasa watanzania kutonunuliwa  kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mtaa, Mkuu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Hivi Ndivyo Vipaumbele Vya Maliasili
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Hivi Ndivyo Vipaumbele Vya Maliasili
Habari May 19, 2025
Watanzania Watakiwa Kufanya Kazi Kwa Bidii
Habari May 19, 2025
Tido Mhando: Marufuku Kuwasilisha Vyeti, Nyaraka Za Kughushi Maombi ya Ithibati, Press Card
Habari May 19, 2025
Shen Zhiying: Mkongwe Aliyeanzisha Kozi Ya Kiswahili Nchini China
Makala May 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?