MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tuwaombe Rais Samia, Mwinyi – Sheikh Swed
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tuwaombe Rais Samia, Mwinyi – Sheikh Swed
Habari

Tuwaombe Rais Samia, Mwinyi – Sheikh Swed

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
NA Danson Kaijage
DODOMA:WAUMINI wa Dini ya Kiislamu wametakiwa kuwaombea dua njema kwa Mungu Marais, Samia Suluhu Hassan na Hussein Ali Mwinyi ili uongozi wao uendelee kuwa wa amani na utulivu.
Katibu wa Sekretarieti Baraza la Ulamaa Taifa na Mratibu Ofisi ya Mufti Makao Makuu- Dodoma,Sheikh Swed Twaibu Swed amewataka waumini hao kuomba dua hiyo,  alipokuwa akizungumza na umati wa waumini wa Dini ya Kiislamu katika uwanja wa mpira wa Jamhuri Jijini Dodoma.
 Amesema  dini ya Kiislamu inaelekeza kuwa kila siku ya Ibada ya Ijumaa kuna dua ya kumwombea kiongozi mkuu ambaye ni Rais
Amesema maombi ya kuwaombea marais hao ni muhimu kwani wanaongoza uhai wa watu kwa mamlaka waliyonayo duniani, hivyo ni lazima wawe na mguvu ya Mwenyezi Mungu ya kuwaongoza kufanya mambo ambayo yana busara,hekima,upendo na kudumisha amani sambamba na kuendeleza Muungano uliopo.
Sheikh Swed amesema wakati waumini wa dini ya Kiislamu wakiwa katika mfungo Mtukufu wa Ramadhani walikuwa wakimcha Mungu kwa bidii, sasa wamemaliza kwa kuisherekea Eid ul-Fitr wanatakiwa kuwa na nguvu ile ile ya maombi kama ilivyo katika kipindi cha Ramadhani.
“Mnaweza kuona kuwaombea viongozi hususani Rais ni jambo la kawaida, ni muhimu kufanya maombi ili Kiongozi mkubwa wa nchi kama vile Rais Samia awe na afya njema.
” Azidi kusimamia misingi ya utu na haki sambamba na kufanya kazi kwa masilahi mapana ya watu anaowaongoza badala ya kuwaza kujinufaisha,” amesema.
Amesema baada ya kumaliza mfungo, mtukufu wa Ramadhan, waumini  wanatakiwa kuonesha mabadiliko ya nguvu ya maombi kitabia,kiuchumi na kwa mwenendo mzima wa maisha.
Pia amewataka watanzania kufanya kazi kwa bidii ili kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.

You Might Also Like

Umoja, Mshikamano Vyatawala Mkutano Wa SADC

Erio atoa elimu ya bidhaa bandia kwenye mabanda nanenane

Biashara Kati Ya Tanzania Na Uturuki Yapanuka Kwa Kiasi  Kikubwa

Bodi ya mkonge kutoa ajira kwa watu 10,000 ifukapo 2030

ARTICLE 19,  JOWUTA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WANAHABARI

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Midea Group Yafungua Duka Mlimani City Dar Es Salaam
Next Article Wahitimu Kidato IV 2024, Washauriwa Kubadili Machaguo Ya Tahasusi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Viongozi Watakiwa Kuweka Haki Mbele Katika Kusimamia Masuala ya Wafanyakazi — COWTU (T)
Habari November 25, 2025
Huduma za Maktaba Zabadilika: Malipo Kidijitali, Usomaji Mtandaoni
Habari November 25, 2025
Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?