MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: NCCR-MAGEUZI Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > NCCR-MAGEUZI Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 
Habari

NCCR-MAGEUZI Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimesema kuwa kitashiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025  wa kuwachagua madiwani, wabunge na Rais, hakitaungana na chama chochote kupinga au kugomea uchaguzi huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Joseph Selasini amesema hayo alipozungumza katika Mkutano Mkuu wa kikatiba wa chama hicho uliofanyika mkoani Dodoma.
Selasini amesema  chama hicho hakiko  tayari kususia uchaguzi kwani kinafuata matakwa ya kikatiba ya kufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano ya kikatiba.
Amesema hakijaungana na vyama vingine kupinga uchaguzi kwa kuwa hawana  elimu ya kitosha juu ya wanachokiamini kupitia kaulimbiu ya ‘No Roform No Election’.
Sababu nyingine amesema ni vyama vingine kukidharau chama  hicho kwa maelezo ni kidogo.
Selasini amempongeza  Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuanzisha kauli mbiu ya “Kazi na Utu” kwa maelezo kuwa NCCR–Mageuzi imekuwa ikihamasisha zaidi kwa kutumia kauli mbiu ya “Utu Itikadi yetu”.
 Kwa upande wake Msajili msaidizi wa vyama vya siasa Nchini Disty Nyahoza amesema vyama vya siasa vipo kwa ajili ya kuhakikisha vinajenga hoja na kutaka kushika dola lakini siyo vurugu.
Naye Mwenyekiti wa Chama hicho Haji Ambar Khamis amesema chama kinafanya mkutano wake kikatiba na kuhakikisha kinapata viongozi kama sheria ya vyama vya siasa inavyotaka.

You Might Also Like

Mdemu Azindua Utafiti Uliofanywa na FES Kwa Kushirikiana Na COTWU – T

REA Kusambaza Majiko Banifu 10,650 Mkoa Wa Pwani

Uvuvi Wa Kisasa Wainua Mwanza Kiuchumi

TPHPA Tumejiimarisha Kudhibiti Visumbufu Vya Mazao – Ndunguru

Matwebe Aipongeza Serikali Kushirikisha JUMIKITA  Kwenye Shughuli Za Kitaifa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Tanzania Kwa Mara Nyingine Mwenyeji Kongamano La eLearning Afrika
Next Article Ridhiwani Aongoza Waliojiajiri Kujiunga, Kuweka Akiba NSSF
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Fema Mining & Drilling Mfano wa Kuigwa – Musukuma
Habari September 23, 2025
Mgodi Wa Dhahabu Wa Nyanzaga Kunufaisha Wananchi, Ujenzi Wazidi Kupaa
Habari September 23, 2025
Sekta Ya Madini Yazidi Kuchangia Ukuaji Wa Uchumi – Majaliwa
Habari September 23, 2025
Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?