MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tanzania Ina Utolevu Wa Chakula Kwa Miaka Minne Uongozi Wa Samia
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tanzania Ina Utolevu Wa Chakula Kwa Miaka Minne Uongozi Wa Samia
Habari

Tanzania Ina Utolevu Wa Chakula Kwa Miaka Minne Uongozi Wa Samia

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Joel Laurent amesema kwa kipindi cha miaka minne ya Serikali Awamu ya Sita, Tanzania imejitosheleza  kwa chakula kwa asilimia 128.
Laurenti amesema hayo alipotoa taarifa ya  akitoa taarifa ya mafanikio ya mamlaka hiyo kwa kipindi cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Amesema kuwepo kwa utoshelevu wa chakula nchini unatokana na matumizi sahihi ya mbolea yenye ubora inayozalishwa nchini na inayotoka nje ya nchi.
Pia amesema kwa sasa matumizi ya mbolea ya ruzuku inapatikana kwa wakati na kwa bei inayofahamika kwa unafuu wa mkulima ambaye amejisajili.
Akizungumzia mafanikio kwa wakulima ambao wamesajiliwa amesema ni wakulima milioni 4.8 japo wakulima wengi wanahitajika kuendelea kujisajili ili waweze kutambuliwa zaidi kwa lengo la kupatiwa huduma.
Akizungumzia mbolea ya ndani amesema kuwa kwa sasa matumizi ya mbolea ya ndani ni tani laki 1.58 tofauti na miaka ya nyuma ambapo matumizi ya mbolea ya ndani ilikuwa tani 41.
Akizungumzia madeni kwa wasambazaji wa mbolea ya ruzuku amesema kuwa mpaka sasa Serikali imefaniliwa kulipa madeni kwa asilimia 65 ya madeni yote.

You Might Also Like

Uzinduzi wa Ubia Wiki Ya Ubunifu Tanzania 2025 Wafanyika

Trilioni 11.5 Zimetumika Miradi Ya Maendeleo Kigoma

PSPTB Yatangaza Usajili wa Mitihani ya 31 ya Kitaaluma ya Ununuzi na Ugavi

Ajali ya treni Kigoma , abiria 70 wajeruhiwa

Mramba Afungua Mafunzo Ya Teknolojia Ya Nishati Jua Kwa Watalaam

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Tujenge Jumuiya Yenye Mustakabali wa Pamoja kati ya China na Afrika – Wang Yi
Next Article VETA Mtwara Watua Na Mwani Maadhimishilo Ya Miaka 30
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nishati Safi Kwa Kila Mtanzania Inawezekana – Saidy
Habari August 7, 2025
Bodi ya Maziwa Yatoa Mafunzo ya Ubora, Usalama wa Maziwa Katika Maonyesho ya Nane Nane
Habari August 7, 2025
Balozi wa Tanzania Nchini Italy Afurahishwa  Ubunifu wa TPHPA Maonesho ya Nanenane
Habari August 7, 2025
Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?