MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Serikali Kulinda Wabunifu Wa Silaha
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Serikali Kulinda Wabunifu Wa Silaha
Habari

Serikali Kulinda Wabunifu Wa Silaha

Author
By Author
Share
3 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: IMEELEZWA kuwa vijana wabunifu wanaoweza kutengeneza vifaa mbalimbali kama silaha au vifaa ambavyo vinaweza kuonekana  hatarishi,  wanalindwa  kuona ni namna gani vinaweza kutumika.
Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Dkt. Amos Nungu, alipozungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa Tume hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita.
Dkt. Nungu amesema  bunifu nyingi ambazo zinafanywa na vijana si kwamba zinazuiliwa lakini zinaangaliwa kwa kuzingatia nini faida kwa maana ya mladi au ni wapi bunifu hiyo itatumiwa.
Akizungumzia vijana ambao wanafanya bunifu lakini inasemekana kuwa wanakamatwa na vyombo vya dola kama kubuni bunduki na vifaa mbalimbali ambavyo ni sehemu hatarishi amesema kuwa kazi ya serikali au vyombo vya dola ni kumpatia ulinzi kwa ajili ya usalama wa mbunifu huyo.
Akizungumzia mafanikio kwa kipindi cha miaka minne, amesema kwa mwaka 2021-2025, Tanzania imeendelea kupiga hatua katika maendeleo ya sayansi, teknolojia na ubunifu.
Amesema kwa utashi thabiti wa kisiasa na dira ya kuifanya Tanzania kuwa taifa linalojegwa kwa kutumia sayansi na teknologia, serikali imewekeza ssh. Bilioni 25.7 katika utafiti, ubunifu na maendeleo ya teknolojia kupitia tume hiyo.
Amesema Serikali kupitia COSTECH, imefadhili zaidi ya tafiti 50 katika sekta za Elimu, kilimo, afya, na mazingira ili kuhakikisha maarifa hayo yanatumika kuboresha maisha ya Watanzania.
Na zaidi ya vituo vya ubunifu 111 zimeimarishwa, huku tafiti zikibadilika kuwa suluhisho za kisayansi kwa jamii. Kampuni mpya zipatazo 70 zimesajiliwa ikiwa na matokea ya wabunifu waliyowezeshwa na serikali .
Amesema  Serikali  imetoa fedha na kuweka mazingira rafiki kwa wanasayansi na wabunifu wa Kitanzania. Kupitia mfumo wa ushirikiano wa kimkakati kati ya serikali ya Tanzania na nchi rafiki pamoja na taasisi za kimataifa, COSTECH imepokea Sh Bilioni 5.65 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya utafiti wa pamoja kati ya watafiti wa Tanzania na washirika wenza.
“Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, serikali imetenga Sh. Bili 6.3 kwa ajili ya miradi ya utafiti wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, huku Shilingi Mil.i 600 zikielekezwa katika miradi minne ya usalama wa chakula, ikihusisha udhibiti wa magonjwa ya mazao,
“Uboreshaji wa uhifadhi wa chakula na ubunifu wa vyakula vyenye virutubishi vya hali ya juu,” amesema

You Might Also Like

Ridhiwani Kikwete Akagua Maandalizi ya Kilele Mbio za Mwenge Jijini Mwanza

Dhibitini Magonjwa ya Mlipuko-Mchengerwa

Kimwaga Mwenyekiti Mpya DCPC, Ahimiza Nidhamu

TMA yatoa mwelekeo mvua za vuli 2024

Maadhimisho Ya VETA Ya Miaka 30 Kuhitimishwa Machi 18 Hadi 21, DSM

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Samia Asema Mwanamke Anayo Haki Ya Kumiliki Ardhi
Next Article Kipaji pekee hakitoshi katika kufanya kazi za kihabari – Kipangula
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?