MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Vinasaba 524 Vimepimwa Kwa Mkemia Mkuu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Uncategorized > Vinasaba 524 Vimepimwa Kwa Mkemia Mkuu
Uncategorized

Vinasaba 524 Vimepimwa Kwa Mkemia Mkuu

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: MAMLAKA ya Mkemia Mkuu wa Serikali, imepokea majarida jinai ya kupima vinasaba 524 kwa mwaka mmoja, ambayo kipimo kimoja kinagharimu Sh laki moja.
Akitoa taarifa ya mafanikio kwa miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Mkemia  Mkuu wa Serikali, Dkt. Fedelice Mafumiko amesema  ufunguaji wa majarida jinai hayo, inaonesha ni namna gani wananchi wamekuwa na uelewa wa kupima vinasaba.
Pia amesema mamlaka hiyo imepata wito wa kusaidia kutoa ushahidi wa kimahakama 6986.
 Amesema mafanikio hayo yanatoka na utendaji kazi wa ushirikiano na watendaji wa Mamlaka husika katika kufikia lengo la utoaji huduma bora kwa jamii.
Ndani ya miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita,
Mamlaka hiyo mefanikiwa kujenga jengo la makao Makuu lililopo Jijini Dodoma na hadi kukamilika kweke limegharimu Sh.  Bilioni 8.14
Pia amesema kuwa Mamlaka imefanikiwa kujenga maabara za kikanda na kujenga nyumba za watumishi mipakani.

You Might Also Like

Waziri Jenista akabidhiwa ofisi rasmi na Ummy Mwalimu

REA Yatoa Kipaumbele Ujenzi Miradi Ya Nishati Jadidifu

Waziri Pinda ashiriki mazishi ya Jaji Kipenka

Dkt Biteko Ahimiza Watanzania Kupiga Kura Novemba 27,2024

Wagombea ambao hawajaridhishwa na uteuzi,waweke pingamizi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wajumbe IPA Zanzibar Wafanya Ziara TEA
Next Article Dkt. Tumbo Aitaka Jamii Kuelimishwa Namna Bora Ya Kuhifadhi Taka
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?