MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Rais Samia Awatega Wateule Wake
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Rais Samia Awatega Wateule Wake
Habari

Rais Samia Awatega Wateule Wake

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read

Na Danson Kaijage

DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan amewaeleza wakurugenzi wanaotaka kwenda majimboni kuwania nafasi ya ubunge kutoa taarifa mapema ili waandaliwe waliopo chini yao.

Samia ametoa kauli hiyo wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 39  wa ALAT uliofanyika Jijini Dodoma.

Rais Samia amesema katika kuelekea harakati za uchaguzi, endapo kuna wakurugenzin wakuu wa Mkoa na wakuu wa Wilaya wanaotaka kuingia majimboni watoe taarifa mapema ili waanze kuandaliwa waliopo chini yao kwa lengo la kuwapandisha vyeo badala ya wateule hao kuondoka na kusabaisha teuzi kuwa ngumu.

“Kwa sasa tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu kama kuna wakurugenzi,wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wanaotaka kwenda kugombea watoe nafasi mapema ili tuanze kuwatengeneza waliopo chini yao kushika nafasi hizo.

“Kuna wakati unakuta watu wote wanaondoka kwenda kuchukua fomu na kuziacha ofisi hazina watendaji kutokana na hali hiyo inapelekea kuteua watu ambao hawana uzoefu jambo ambalo siyo sahihi.

“Kama mtu anataka kwenda kuchukua fomu ni lazima kujipima na kutoa taarifa iwapo haukutoa taarifa unaweza kujikuta unakosa yote maana unaweza kukosa huko na huku ukakuta nafasi yako imejazwa lakini kama utatoa taarifa na ulikuwa mtendaji mzuri unaweza kufikiriwa.

“Tunataka watu wanaokwenda kugombea ni watu ambao tayari wamejipanga na wana uwezo wa kuendesha gurudumu la maendeleo na siyo watu ambao hawajajiaandaa,”amesema.

Katika hatua nyingine amezitaka halmashauri kuhakikisha inasimamia mapato yanayokusanywa katika halmashauri zao kwa lengo la kufanikisha maendeleo ya wananchi na taifa kwa ujumla.

You Might Also Like

Kanisa La GCC Kufanya Maombi Kuelekea Uchaguzi Mkuu

Ridhiwani Aongoza Majadiliano Ya Taarifa Ya Utekelezaji Wa Majukumu PSSSF

Mchengerwa Apongeza Shule Ya Sekondari Kibaha Kwa Ufaulu Wa Hali Ya Juu

Ridhiwan Azindua Jengo La Biashara La TUCTA-Arusha

Mbarawa Aagiza Matumizi Ya Kitufe Utambuzi Wa Dereva

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Trilioni 1.2 Kumaliza Tatizo la Maji Dar
Next Article TEN/MET, LHRC Zataka Iwekwe Marufuku Matumizi Ya Viboko
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Ndejembi Ashuhudia Utiaji Saini Wa Mkataba Wa Sh Bilioni 204.7 Wa Mradi Wa Umeme Wa Jua Wa Megawati 100 Kishapu
Habari July 27, 2026
Kutoka Wazo Rahisi Hadi Mapinduzi ya Kilimo: Safari ya Rafiki Planter Inayosimulia Miaka 40 ya COSTECH
Makala July 27, 2026
Watendaji Wakuu Waagizwa Kuifanya Dira 2050 Kuwa Mwongozo Wa Maamuzi Yao
Habari July 24, 2026
Nchi za SADC Zahimizwa Kuimarisha Umoja Kukabili Changamoto
Uncategorized July 17, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?