MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Usafirishaji Wa Mizigo SGR Mbioni Kuanza
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Usafirishaji Wa Mizigo SGR Mbioni Kuanza
Habari

Usafirishaji Wa Mizigo SGR Mbioni Kuanza

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: USAFIRISHAJI mizigo katika reli ya kiwango cha kimataifa (SGR), uko mbioni kuanza baada ya kukamilika kwa majaribio ya mabehewa 264 kati ya 1430 yanayotengenezwa na kampuni ya CRRC ya China.

Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Shirika la Reli  Tanzania (TRC), Fredy Mwanjala imesema kuhusu kukamilika huko kwa majaribio ya mabehewa ya mizigo ya SGR.

Katika taarifa hiyo, Mwanjala amesema mabehewa hayo 264 ya mizigo yaliwasili nchini Disemba mwaka jana 2024.

“Majaribio ya mabehewa hayo yalichukua mwezi mmoja yalifanyika chini ya usimamiziwa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA),

“Yalijikita katika maeneo mawili ambayo ni tuli na mwendo. Lengo la majaribio hayo ilikuwa ni kuangalia umadhubuti wa mabehewa treni inapokuwa kwenye mwendo,” amesema.

Amesema wakati wa majaribio hayo LATRA imefanya kaguzi za mabehewa yote 264, kati ya hayo 200 yakiwa ni ya makasha na 64 ni ya mizigo isiyofungwa.

“Aidha LATRA imejiridhisha kuwa ubunifu wa mwendo kasi wa kilomita 120 kwa saa umefikiwa na kuthibitisha kuwa yamefanya vizuri katika mifumo yote muhimu ikiwemo brekina kwenye kona,” amesema.

You Might Also Like

Mtindi wa Korosho, Stafeli Wafanyiwa Utafiti UDSM

TMDA Kudhibiti Bidhaa Za Tumbaku Ili Wananchi Wasiendelee Kupata Madhara

OUT Yasaini Mkataba Ujenzi Wa Maabara Tatu Za Sayansi

CATC yawaita wakulima kusomea urushaji wa ndege nyuki

Rais Samia azindua skuli ya maandalizi Tasani

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mwanafunzi Wa Shule Ya Msingi Mbezi, Aokolewa Mikononi Mwa Mtekaji
Next Article Mazao Bora Ya Kilimo Kutoka Tanzania Yavutia China
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nishati Safi Kwa Kila Mtanzania Inawezekana – Saidy
Habari August 7, 2025
Bodi ya Maziwa Yatoa Mafunzo ya Ubora, Usalama wa Maziwa Katika Maonyesho ya Nane Nane
Habari August 7, 2025
Balozi wa Tanzania Nchini Italy Afurahishwa  Ubunifu wa TPHPA Maonesho ya Nanenane
Habari August 7, 2025
Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?