MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wizara ya Nishati Yajivunia Jitihada Katika Kulinda Haki, Usawa na Kuwawezesha Wanawake
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wizara ya Nishati Yajivunia Jitihada Katika Kulinda Haki, Usawa na Kuwawezesha Wanawake
Habari

Wizara ya Nishati Yajivunia Jitihada Katika Kulinda Haki, Usawa na Kuwawezesha Wanawake

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

KATIKA  kuelekea maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025, Wizara ya Nishati inajivunia jitihada zinazofanyika  katika kulinda haki usawa na kuwawezesha wanawake kiuchumi kupitia nishati ya umeme na nishati safi ya kupikia.

Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri Nishati,  Judith Kapinga alipokuwa akieleza ni nama gani Wizara ya Nishati inakwenda kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani  yenye kaulimbiu “Wanawake na Wasichana 2025,Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji”

“Tumepeleka umeme kwenye zaidi ya Vitongoji elfu 33, lakini kupitia nishati safi ya kupikia kupitia programu mbalimbali tumepeleka mitungi takribani laki 4020, majiko banifu laki 2 pamoja na majiko ya umeme.” Amesema  Kapinga

Ameeleza kuwa jitihada zote za Serikali katika  uwekezaji sekta ya nishati hususani nishati safi ya kupikia zinalenga kuboresha ustawi wa mwanamke na kuongeza thamani yake katika kujihusisha na shughuli za maendeleo katika jamii.

Aidha,  Kapinga amesema kuwa kupitia Sera ya Elimu Bure kumekuwa na ongezeko la dadi ya wanafunzi wa kike mashuleni, aidha uboreshaji katika sekta ya afya umewafanya wanawake wapate uhakika wa kuendelea na shughuli za uzalishaji kutokana na upatikanaji wa matibabu sahihi.

Amempongeza  Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa tuzo ya Golkeeper ambayo imetambua mchango katika kupungiza vifo vya kina mama wakati wa kujifungua kwa asilimia  80 na Vifo vya watoto chini ya miaka 5 kwa kila vizazi 1,000

You Might Also Like

Kamati Ya Bunge Yapongeza Usimikaji Mfumo Wa Kidijitali CMA

Ofisi Zote Dodoma Kutoa Ushirikiano Kwa Watangazaji-RC

Biteko Amwakilisha Rais Samia Harambee Ujenzi Kanisa Katoliki

Afrika ijadili changamoto sekta ya utalii – UN

Masauni Kuzifanyia Kazi Changamoto Alizozibaini Katika Ziara Yake

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Benjamini Mkapa Yapandikiza Mimba 21, Watano Waongezewa Nguvu Za Kiume
Next Article Makamanda Wa Polisi Msiende Nyumbani na Vyeo Vya Ukamanda
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mtanda Akagua Maendeleo Ya Mradi YA Hoteli Ya Nyota Tano Ya NSSF
Habari May 27, 2025
UDSM  Kujenga Jengo La Kisasa La Bil 8.3
Habari May 27, 2025
Wanazuoni Kujadili   Dira  Itakayojenga  Uchumi Unaofikia   Dola Trilioni Moja
Habari May 26, 2025
Michezo Yapunguza Uhalifu Dodoma
Habari May 25, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?