MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tanzania Kidedea Tuzo Ya Mashindano Ya Kimataifa  Usalama wa Barabara
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tanzania Kidedea Tuzo Ya Mashindano Ya Kimataifa  Usalama wa Barabara
Habari

Tanzania Kidedea Tuzo Ya Mashindano Ya Kimataifa  Usalama wa Barabara

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: SERIKALI imepokea tuzo ya heshima katika mashindano ya Kimataifa ya Usalama wa Barabara kutokana na mchango wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS).
Mchango huo wa TANROADS ni katika kuboresha usalama wa barabara ili kupunguza hatari za ajali na kuhakikisha usalama wa watumiaji wote wa barabara, kupitia mpango wa Ten Step Plan Tanzania.
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameiwakilisha serikali kupokea tuzo hiyo katika mkutano wa ‘Ten Steps to 2030 for Safer Road Infrastructure Side Event’ uliofanyika katika jiji la Marrakech nchini Morocco.
Taarifa iliyotolewa imesema kwamba mkutano huo ni wa nne wa Mawaziri kutoka Mataifa mbalimbali Duniani kuhusu Usalama Barabarani.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo TANROADS iimekuwa ni miongoni mwa washindani watano walioteuliwa kutoka nchi 11, baada ya kushindanishwa na taasisi nyingine 12 duniani.
Pia imesema mbali na TANROADS, taasisi nyingine zilizofikia hatua ya mwisho katika tuzo hiyo ni kutoka nchi za India, Australia, Peru na Saudi Arabia.
Taarifa imesema tuzo hiyo hutolewa kwa mamlaka na Wakala za barabara duniani zinazofanya juhudi kubwa za kuondoa barabara zenye hatari kwa watumiaji wake.
Waziri Ulega ameipongeza TANROADS kupitia Mtendaji mkuu wake Mohamed Besta kwa kazi nzuri inayoliletea taifa heshima na kuitangaza nchi duniani.

You Might Also Like

Waziri Mkuu Majaliwa aitaka uchukuzi lusimamia kwa karibu TRC

Waendelezaji Majengo 103 Kesi Ziko Mahakamani, -AQRB

Mtafiti UDSM Atafiti Mimea Ya Asili Kudhiti Fangasi Kwenye Mimea

Ridhiwani  Azindua Hafla ya Kuupandisha Mwenge, Mlima Kilimanjaro

Rais Wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Mgeni Rasmi Mkutano Wa THRAPA

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Chukueni Mkopo, Kwenye Taasisi Zilizopewa Leseni Na BOT
Next Article BMT Yaleta Kicheko Kwenye Michezo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Utafiti Wa Nguvu Kazi, Mapato Ya Kaya Kutoa Taswira Mpya Ya Maendeleo
Habari July 15, 2025
Majaliwa Aituza UDSM kwa Kuongoza Eneo La Elimu, Utafiti, Ubunifu Sabasaba 2025
Habari July 14, 2025
Nyanya Cheri na Ngogwe Chungu Zarejea 
Habari July 13, 2025
NFRA Yawaalika Wadau Kununua Nafaka kwa Masoko ya Ndani na Nje
Habari July 13, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?