MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: WCF Yaleta Utulivu Mahala Pa Kazi – Katambi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > WCF Yaleta Utulivu Mahala Pa Kazi – Katambi
Habari

WCF Yaleta Utulivu Mahala Pa Kazi – Katambi

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

MOROGORO: SERIKALI Inatambua mchango wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) katika kulinda haki na ustawi wa wafanyakazi ambao ni nguvu kazi ya Taifa, hivyo kuchangia katika ukuaji wa uchumi.

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,  Patrobas Katambi amesema hayo alipokuwa akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo Ridhiwani Kikwete wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la WCF.

Katambi amesema kupitia WCF wafanyakazi wanaopata ajali au ugonjwa unaotokana na kazi zao wanapatiwa matibabu, fidia ya ulemavu, au pensheni kwa wale wanaopoteza uwezo wa kufanya kazi kabisa na hivyo kuwawezesha kuendelea na maisha yao bila kudhoofika kiuchumi.

“Jambo hili linaleta utulivu mahala pa kazi kwa kuliondoa jukumu la kulipa fidia kwa mwajiri hivyo kupunguza lawama na malalamiko”, amesema.

Waziri Katambi amepongeza jitihada mbalimbali zinazofanywa na Menejimenti ya WCF ikiwemo kuweka misingi madhubuti katika usimamiaji wa sera, sheria, taratibu pamoja na menejimenti thabiti ya mifumo ya kifedha.

Pamoja na mambo mengine, kikao hicho cha siku mbili chini ya mwenyekiti wake ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa WCF Dkt. John Mduma, kitajadili na kupitisha Mpango wa nane.

You Might Also Like

Singida Yapokea Zaidi Ya Milioni  Moja 

Timu Wizara Ya Nishati Zawasili Tayari Kwa Bonanza

Kamati Ya Bunge Yaridhishwa Na Utaratibu Wa Manunuzi Ya Bando

Waziri Ridhiwani: Vyama Vya Wafanyakazi, Nguzo Ya Mahusiano Mema Mahali Pa Kazi

Wanawake Wang’aa Mchakato Uchaguzi Mkuu 2025

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article JUMIKITA Yaiomba Serikali Mikopo Ya Fedha, Vifaa
Next Article Chukueni Mkopo, Kwenye Taasisi Zilizopewa Leseni Na BOT
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?