MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Ridhiwani Awataka Wananchi Kuboresha Taarifa Zao Tayari Kwa Uchaguzi Mkuu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Ridhiwani Awataka Wananchi Kuboresha Taarifa Zao Tayari Kwa Uchaguzi Mkuu
Habari

Ridhiwani Awataka Wananchi Kuboresha Taarifa Zao Tayari Kwa Uchaguzi Mkuu

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
PWANI: MBUNGE wa Chalinze mkoani Pwani, Ridhiwani Kikwete amewataka
wananchi wajiandikishe ama kuboresha taarifa zao katika Daftari la kudumu la Mpiga Kura ili wachague viongozi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba Mwaka huu.
Ridhiwani ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-anayeshughulikia masuala ya Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu amewataka wananchi hao kujiandikisha, ili wapate nafasi ya kuchagua viongozi baada ya yeye kuboresha taarifa zake.
Amesema wananchi watakapojitokeza kuhakiki taarifa zako, Oktoba mwaka huu watapata fursa ya kuwachagua viongozi wanaowataka ili haki  muhimu ya kupiga kura isiwapite.
Ridhiwani amehakiki taarifa zake   katika Ofisi ya Kata ya Msoga kwa ajili ya kujiandikisha na kuboresha taarifa zake katika Daftari la kudumu la Mpiga kura ili aweze kupata fursa ya kuchagua viongozi kwenye uchaguzi.
Uandikishaji huo umeanza Februari 13 mwaka huu, utaisha  Februari 19, 2025,.

You Might Also Like

Ridhiwani, Ulega Washiriki Maulid Ya Kumswalia Mtume Muhammad

Wanafunzi Wawili Wajiteka Ili Wapate Pesa Toka Kwa Wazazi wao

TASU yaiomba serikali inunue kutoa ajira kwa mabaharia

Mwongozo wa Mafunzo Elekezi Kwa Walimu Wapya Kazini Mbioni Kukamilika

BRAC Tanzania: Upo Umuhimu Sekta Binafsi, Serikali Kushirikiana

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ridhiwani Awashika Mkono Wenye Mahitaji Maalum
Next Article Msigwa Azikumbusha Taassisi Za Serikali, TANROAD Ikielezea Mafanikio Yake
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Hali Ya Ulinzi Na Usalama Wa Mipaka Ni Salama
Habari May 22, 2025
Ulega Ataka Ushirikiano Miradi Ya Kimkakati Ikamilike Kwa Wakati
Habari May 22, 2025
Aloe Dorotheae, Mmea Unaopatikana Tanzania Pekee
Habari May 22, 2025
TPHPA Kuipokea Ndege Yake
Habari May 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?