MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Polisi Kufuatilia Wanaochuja Mafuta Na Mifuko Kwenye Malori
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Polisi Kufuatilia Wanaochuja Mafuta Na Mifuko Kwenye Malori
Habari

Polisi Kufuatilia Wanaochuja Mafuta Na Mifuko Kwenye Malori

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Lyatuu

KIKOSI  Cha Usalama barabarani kimeahidi kuwasiliana na mkuu wa kituo cha polisi, eneo la Buguruni, Dar es Salaam  ili kujua ni kwanini  wanaona vijana  wakichuja mafuta kwenye malori na mifuko bila kuchukua hatua.

Ahadi hiyo imetokana  na malalamiko yaliyowasilishwa katika  mkutano mkuu wa mwaka wa chama cha wamiliki wa malori wadogo na wa k ati Tanzania (TAMSTOA) ukishirikisha wadau mbalimbali wa uchukuzi.

Aidha Mkaguzi wa Polisi, kutoka kikosi hicho, makao makuu,  Dumu Mwalugenge amesema ni wajibu wa raia pia kuchukua hatua pindi akiona kosa linatendeka .

Amesema kwa askari katika eneo hilo kuona raia wakichuja mafuta kwenye malori na kuacha kuchukua hatua sio jambo jema lakini  atafuatilia kujua zaidi.

“Sio kila kosa linapofanyika askari wanakuwepo kwenye eneo husika, lakini kama mmekiri kuona vitendo vya vijana kuchuja mafuta kwa kutumia mifuko na askari kuona bila kuchukua hatua hilo litafuatiliwa na kupatiwa ufumbuzi,” amesema Mwalugenge.

Amesema askari wanaokuwa katika eneo hilo ni wazi kuwa wanatambua wajibu wao na majukumu yao.

Kuhusu bidhaa za hatari kama  kama visu na mapanga kuuzwa hadharani amesema ni muhimu kwa wauzaji  kuweka ndani ya ala jabla ya kwenda kwa mteja.

Akiwasilisha malalamiko yake, msafirishaji wa malori,Khalid Karwani alihoji uhalali wa vijana wanaochuja mafuta kwenye malori hususani eneo la Buguruni huku askari wakiona bila kuchukua hatua.

Kadhalika alihoji suala la bidhaa hatari kama vis una panga kuuzwa kiholela hadharani jambo ambalo ni hatari kwani linaweza kusababisha madhara kwa namna moja hadi nyingine.

 

 

 

 

 

 

 

You Might Also Like

Madini Yaweka Rekodi Makusanyo Ya Maduhuli

Mpanduji Wa COTWU – T Aelezea Changamoto Zinazowakabili Waendesha Bodaboda, Bajaji

Serikali Sekta Binafsi Kuimarisha Huduma Za Fedha Nchini

Mpango Asema Tanzania, Korea Kubadilishana Wafanyakazi

Vumbi la Nyuki Lapewa Uzito Singida: Latajwa Tiba ya Asili Yenye Virutubisho 99

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TEA Yakabidhi Miradi Iliyokamilika Wilayani Mtama, Masasi
Next Article Takukuru Kinondoni Yapokea Malalamiko 46 Kuhusu Rushwa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mbegu Bora za Miwa Zenye Tija ya Tani 200 kwa Hekta Zaendelea Kuwanufaisha Wakulima
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Mpunga Zazalishwa TARI Dakawa, Ifakara
Habari August 7, 2025
Mtego wa Inzi Wa Matunda Suluhisho Salama kwa Wakulima
Habari August 7, 2025
Mafua, Kifua Yadaiwa Kusababisha Kifo cha Job Ndugai
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?