MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Aprili 2025 Matokeo Awamu Ya Kwanza, Maoni Dira Ya Taifa Na Maendeleo 2050 Kutolewa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Aprili 2025 Matokeo Awamu Ya Kwanza, Maoni Dira Ya Taifa Na Maendeleo 2050 Kutolewa
Habari

Aprili 2025 Matokeo Awamu Ya Kwanza, Maoni Dira Ya Taifa Na Maendeleo 2050 Kutolewa

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema Aprili mwakani 2025, yatatolewa matokeo ya awamu ya kwanza ya maoni mbalimbali yaliyotolewa na vijana.

Ridhiwani ameyasema hayo katika Mkutano na Mtandao wa Vijana Kuhakiki Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 uliofanyika Mkoani Dar es Salaam.
Amesema maoni hayo ya vijana yanasaidia kuchambua mtazamo unaotakiwa kuwepo, hivyo Kama Waziri mwenye dhamaba ya vijana atayasimamia maoni yote yaliyotolewa, kwa kuhakikisha yanaingizwa kwenye Dira ya Taifa.
“Maoni hayapigwi nyundo yanasikilizwa na kufanyiwa kazi yale jamii inayoyataka,” amesema.
Miongoni mwa maoni yaliyotolewa na vijana ni kuhusu namna gani nchi inapaswa kuwa na utaratibu wa kuwaandaa vijana,pia dira hiyo iainishe walau asilimia ya vijana wanaotakiwa kuwa kwenye vyombo vya maamuzi.
Pia rasimu iliyopo haijaainisha programu maalum ya kuwajengea uwezo wenye ulemavu ikiwa ni pamoja na uwakilishi wa wenye ulemavu.

You Might Also Like

Rais Samia azindua skuli ya maandalizi Tasani

Ridhiwan Kikwete awaagiza maofisa kazi kushirikiana na WCF

Waendelezaji Majengo 103 Kesi Ziko Mahakamani, -AQRB

CMA Inasaidia Vijana Kuwa Na Nafasi Bora Kazini

Nchimbi Agongelea Nyundo Kwa Wagombea Watoa Rushwa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Baraza Kuu TUGHE Lasisitiza Haki, Wajibu Kuleta Tija Sehemu Za Kazi
Next Article TRAWU Kupambania Mkataba Wa Hali Bora Kwa Wafanyakazi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Fema Mining & Drilling Mfano wa Kuigwa – Musukuma
Habari September 23, 2025
Mgodi Wa Dhahabu Wa Nyanzaga Kunufaisha Wananchi, Ujenzi Wazidi Kupaa
Habari September 23, 2025
Sekta Ya Madini Yazidi Kuchangia Ukuaji Wa Uchumi – Majaliwa
Habari September 23, 2025
Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?