MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Ridhiwani Ateta na Viongozi wa Vijiji Lugoba, Chalinze 
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Ridhiwani Ateta na Viongozi wa Vijiji Lugoba, Chalinze 
Habari

Ridhiwani Ateta na Viongozi wa Vijiji Lugoba, Chalinze 

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
PWANI: WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amezungumza na Wenyeviti wa Vijiji, Vitongoji na wajumbe wa Halmashauri za Vijiji  wapatao zaidi ya 1900 eneo la Lugoba, Chalinze leo Novemba 30, 2024.
“Nimetumia nafasi hiyo kuwakumbusha wajibu wao kwa Wananchi, Serikali zao na kwa Chama Chao. Pia nimewatakia kheri katika majukumu yao kwa jumla na kuwaahidi ushirikiano mkubwa sana toka kwangu na ofisi yangu,” amesema.

You Might Also Like

Kima Cha Chini Cha Mshahara Chapanda Kwa Asilimia 35.1-Rais Samia

NBS: Utumiaji Wa Takwimu Nyenzo Muhimu Kwa Mama Lishe

Mtindi wa Korosho, Stafeli Wafanyiwa Utafiti UDSM

Sheria Ya Kupata  Taarifa, Ya NGOs Zina Upungufu 

TEA Yatathmini Utekelezaji na Kupanga Mwelekeo Mpya Kupitia Baraza la Wafanyakazi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article PSSSF MSHINDI WA KWANZA TUZO ZA UANDAAJI BORA MAHESABU ZA NBAA, 2023
Next Article Serikali Kuboresha , Kuweka Mazingira Wezeshi Kwa Vijana
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
BoT Yarahisisha Uuzaji wa Dhahabu kwa Wachimbaji, Yatoa Punguzo La Mrabaha
Habari September 22, 2025
Waziri Mkuu Apongeza Huduma Kidijitali za NSSF, Maonesho Ya Madini Geita
Habari September 22, 2025
Mkuu Wa Mkoa Shinyanga Asifu Kazi Ya Bodi Bima Ya Amana
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?