MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Waziri Ridhiwani Awataka Wafanyakazi Kuongeza Bidii Katika Kazi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Waziri Ridhiwani Awataka Wafanyakazi Kuongeza Bidii Katika Kazi
Habari

Waziri Ridhiwani Awataka Wafanyakazi Kuongeza Bidii Katika Kazi

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

ENDAPO wafanyazi hawatajituma na kuhujumu nchi, uchumi hautakuwa.

Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema hayo alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), jijini Dodoma.

Amewataka viongozi wa wafanyakazi kuendelea kupambana na viashiria vinavyorudisha nyuma taifa vya rushwa na ubadhirifu.

“Tujitume kwa maendeleo ya taifa letu. Ni jukumu la viongozi wa TUCTA na vyama shiriki kulisemea hili na kulikemea,tuendelee kupambana na viashiria vinavyorudisha nyuma taifa vya rushwa na ubadhirifu,” amesema Ridhiwani.

You Might Also Like

Profesa Nombo: Ushirikiano wa VETA, Sekta Binafsi Waimarisha Mafunzo ya Ufundi Stadi

TRA Kupambana Na Wakwepa Kodi Kupitia Bandari Bubu

Ridhiwani Awashika Mkono Wenye Mahitaji Maalum

TBA Yakaribisha Wawekezaji Kushiriki Miradi Mikubwa ya Ujenzi

Twendeni Tukapige Kura Ya Ukombozi, CHAUMMA Yahitimisha Kampeni

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wafanyakazi Wakumbushwa Kujitokeza. Kwa Wingi Kupiga Kura
Next Article Rais Samia Awakumbuka Wazazi Wanaojifungua Watoto Njiti
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Viongozi Watakiwa Kuweka Haki Mbele Katika Kusimamia Masuala ya Wafanyakazi — COWTU (T)
Habari November 25, 2025
Huduma za Maktaba Zabadilika: Malipo Kidijitali, Usomaji Mtandaoni
Habari November 25, 2025
Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?