MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wafanyakazi Wakumbushwa Kujitokeza. Kwa Wingi Kupiga Kura
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wafanyakazi Wakumbushwa Kujitokeza. Kwa Wingi Kupiga Kura
Habari

Wafanyakazi Wakumbushwa Kujitokeza. Kwa Wingi Kupiga Kura

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amewakumbusha wafanyakazi kujitokeza kupiga kura ya kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, viongoji na vijiji, Novemba 27 mwaka huu 2024.

Ridhiwani amewakumbusha hayo wafanyakazi alipokuwa akizindua Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), jijini Dodoma.

“Sisi sote ni sehemu ya wanufaika wanaoshiriki katika uchaguzi huo, ni imani yangu wafanyakazi na familia zenu mliojiandikisha mtatumia vizuri nafasi hii kuchagua viongozi wa kutuongoza.

“Ninawaomba mjitokeze kwa wingi kuchagua viongozi siku itakapofika,” amesema Ridhiwani.

You Might Also Like

Shemdoe aridhika huduma zinazotolewa na TVLA nanenane

RC Serukamba Aiunga Mkono REAUgawaji Wa Mitungi Ya Gesi Iringa

Mchome: Ubunifu wa VETA Ni Mkubwa, Sasa Ni Wakati Wa Uzalishaji Kwa Wingi

PSSSF MSHINDI WA KWANZA TUZO ZA UANDAAJI BORA MAHESABU ZA NBAA, 2023

Ujenzi Kiwanda cha Chumvi Waanza Lindi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ridhiwani: Ili Kufikia Muafaka Masuala Ya Kazi, Serikali Inahimiza  Vyombo Vya Mashauriano
Next Article Waziri Ridhiwani Awataka Wafanyakazi Kuongeza Bidii Katika Kazi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Fema Mining & Drilling Mfano wa Kuigwa – Musukuma
Habari September 23, 2025
Mgodi Wa Dhahabu Wa Nyanzaga Kunufaisha Wananchi, Ujenzi Wazidi Kupaa
Habari September 23, 2025
Sekta Ya Madini Yazidi Kuchangia Ukuaji Wa Uchumi – Majaliwa
Habari September 23, 2025
Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?