MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tume Ya Kurekebisha Sheria Tanzania Kuipitia Sheria Ya Takwimu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tume Ya Kurekebisha Sheria Tanzania Kuipitia Sheria Ya Takwimu
Habari

Tume Ya Kurekebisha Sheria Tanzania Kuipitia Sheria Ya Takwimu

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
MOROGORO: SHERIA ya Takwimu imependekezwa ifanyiwe marekebisho ili iendane na mahitaji ya sasa, hali ya maendeleo ya kijamii, kiuchumi, na kisayansi nchini.
Katibu Mtendaji wa  Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania George Mandepo amesena kamisheni imekutana mkoani Morogoro kujadili utekelezaji wa kazi ya mapitio ya Sheria hiyo ya takwimu, ili kuiboresha kuifanya iendane na wakati uliopo .
Amesema sheria hiyo ni muhimu kwa sababu inasimamia uzalishaji, ukusanyaji na usambazaji wa takwimu rasmi nchini ikiwemo takwimu za kiutwala ambazo ni muhimu katika kupanga sera, kutathmini maendeleo, na kufanya maamuzi.
Amesema mapitio ya Sheria hiyo yamejumuisha viini mbalimbali vya utafiti kama vile uhuru wa taasisi katika kuzalisha na kusambaza takwimu ili kuhakikisha takwimu zinazokusanywa zinapatikana kwa urahisi na usahihi kwa watumiaji wote, ikiwemo watafiti, wawekezaji na wananchi.
“Maboresho ya sheria hii yatasaidia ulinzi wa faragha, usalama wa taarifa na uwajibikaji wa taasisi zinazokusanya takwimu ili kuimarisha ubora wake na uaminifu katika takwimu zinazozalishwa.
“Tume   imepewa jukumu la kufanya mapitio ya Sheria hiyo  ili kupendekeza maboresho kwa serikali.
“Tume ilifanya mapitio haya kwa njia ya utafiti pamoja na majadiliano na wadau mbalimbali,  ili kupata maoni yao kwa ajili ya kutoa mapendekezo ya kisheria na ya kiutawala  kwa serikali yatakayosaidia kuboresha Sheria husika,””amesema.
Amesema mapendekezo yaliyotolewa yataimarisha mifumo ya kisheria inayohusiana na ulinzi wa data binafsi, ili kuhakikisha kwamba taarifa za wananchi zinafichwa na kulindwa dhidi ya matumizi mabaya.
Amesema sheria hiyo itachangia uwezeshaji wa teknolojia na ubunifu kwa kuweka mazingira bora kwa matumizi ya teknolojia za kisasa katika ukusanyaji na uchambuzi wa takwimu.
Kwa kufanya mapitio hayo amesema sheria hiyo hapa nchini itakuwa na uwezo wa kusaidia maendeleo endelevu na kutoa taarifa sahihi kwa ajili ya uamuzi bora katika sekta mbalimbali za kiuchumi, kisiasa na kijamii.

You Might Also Like

Tanzania yqpata dola bilioni 2.3 kwa kuuza matunda, kunde nje

Mipango Zaidi Msiba Wa Cleopa Msuya Kutolewa Na Serikali

BRELA kuanza kuwasajili wakulima

Wanaodaiwa Kumuua Ofisa TRA Washikiliwa na Polisi

Bodi ya Bima ya Amana Yatoa  Bil 9.07 , Fidia Kwa Wateja Wa Benki Saba   Zilizofilisika

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Sababu Nne Zilizofanikisha Mafanikio Katika Uandikishaji
Next Article Maboresho Mfumo wa Sheria Zinazosimamia Uwekezaji Kuchochea Uwekezaji Nchini
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

BRELA Yatwaa Tuzo Sabasaba
Habari July 11, 2025
UDSM  Yakamilisha Utafiti Wa Dawa Ya Kusafisha Sumu Kwenye Maji
Habari July 11, 2025
Rafiki Planter’Teknolojia Rahisi, Tija Kubwa”
Habari July 11, 2025
Wazalishaji, Waagizaji Mbolea Watakiwa Kuzingatia Afya ya Udongo kwa Tija ya Kilimo
Habari July 11, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?