MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mume na Mke Wafariki Kwa Wivu Wa Kimapenzi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mume na Mke Wafariki Kwa Wivu Wa Kimapenzi
Habari

Mume na Mke Wafariki Kwa Wivu Wa Kimapenzi

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Mwandishi Wetu

WATU wawili Ally Mwakilembe (45), Mkazi wa Kijiji cha Kapeta Kata ya Ikinga Tarafa ya Bundali Wilaya ya Ileje, Songwe na Wema Ndile (32), wamefariki dunia kutokana na wivu wa mapenzi.

Taarifa iliyotolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Johnny Maro imesema Oktoba 15 mwaka huu saa 4:30 usiku Kijiji cha Kapeta, Mwakilembe alimshambulia kwa kumchoma visu Wema sehemu za shingoni na ubavuni upande wa kulia akiwa nyumbani kwake na kusababisha kifo chake.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, baada ya tukio hilo Mwakilembe naye alijichoma kisu tumboni na kujisababishia jeraha ambapo alikimbizwa Hospitali ya Wilaya ya Ileje, Oktoba 17 mwaka huu saa 9:30 alfajiri alifariki akiwa anaendelea na kupatiwa matibabu hospitalini hapo.

“Mwakilembe na Wema walikuwa ni mke na mume na walitengana miezi mitano iliyopita ambapo mke aliamua kwenda kuishi sehemu nyingine,” ilisema taarifa hiyo.

Taarifa ilisema uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha tukio hilo ni wivu wa kimapenzi.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linatoa wito kwa jamii kuacha tabia ya kujichukulia sheria mkononi ili kuepusha kutokea kwa matukio mabaya kama hayo ya mauaji.

You Might Also Like

Rais Samia katika uzinduzi rasmi safari za SGR

Watanzania Watakiwa Kufanya Kazi Kwa Bidii

Rais Samia afungua kikao kazi cha watendaji serikalini

TSB, Wizara ya kilimo yaweka mpango wa vituo vya usindikaji mkonge

Matokeo Ya Usaili TRA Kutangazwa April 25,2025

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kamati Ya Bunge  Yaridhishwa Na Ujenzi Wa Jengo La Kituo Cha Zimamoto, Mtumba
Next Article Mashimba: Tumieni Siku Zilizobaki Kujiandikisha
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mramba Afungua Mafunzo Ya Teknolojia Ya Nishati Jua Kwa Watalaam
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Miwa Zenye Tija ya Tani 200 kwa Hekta Zaendelea Kuwanufaisha Wakulima
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Mpunga Zazalishwa TARI Dakawa, Ifakara
Habari August 7, 2025
Mtego wa Inzi Wa Matunda Suluhisho Salama kwa Wakulima
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?