MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wasira akipongeza Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere  kwa kuenzi Falsafa za Baba wa Taifa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Uncategorized > Wasira akipongeza Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere  kwa kuenzi Falsafa za Baba wa Taifa
Uncategorized

Wasira akipongeza Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere  kwa kuenzi Falsafa za Baba wa Taifa

Penina Malundo
By Penina Malundo
Share
3 Min Read

Na Mwandishi wetu

Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA). Stephen Wasira amekipongeza Chuo hicho kwa kuendelea kuenzi na kusimamia Maono na Falsafa za baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kuhakiksha chuo hicho kinaendeleza na kusimamia masuala ya Uongozi, Maadili na Utawala.

Mzee Wasira ameyasema hayo kwenye kongamano la tatu la Kitaaluma la kumbukizi ya baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ambalo liliambatana na uzinduzi wa Kitabu kinachoelezea falsafa ya Mwalimu Nyerere katika kuboresha Maisha ya Watu, Maendeleo ya Kiuchumi, Kisiasa na Kijamii.

Amesema Wakati Taifa likiendelea kumuenzi Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baba wa Taifa JK Nyerere, Tanzania imeendelea kutekeleza kwa vitendo na kuendeleza falsafa zilizoachwa na Hayati Nyerere kwa kuhakikisha Taifa linaishi kwa Maridhiano, Mabadiliko, Ustahmilivu, na Kujenga upya (4R) ambazo Rais Samia amekuwa akizisimamia.

” Ni wazi kuwa pamoja na kutokuwa pamoja na baba wa Taifa kwa miaka 25, mambo mengi aliyotuachia ikiwemo Misingi ya Uongozi na kuhakikisha Umoja unaeendelezwa kwa vitendo ikiwa ni pamoja na 4R ambazo zimekuwa zikisimamiwa na Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, alisema Mzee Wasira.

Kwa upande wake Mkuu wa chuo hicho Prof. Shadrack Mwakalila amesema mada kuu katika Kongamano hilo ni ‘Maono ya Mwalimu Nyerere katika Uongozi na Maendeleo Endelevu’ na kuwa Chuo kimeendelea kujivunia misingi mizuri aliyoiacha Baba wa Taifa ukiwepo Umoja,Upendo na Mshikamano.

Prof. Mwakalila ameeleza kuwa chuo kimeandaa kongamano hilo kwa lengo la Kumuenzi baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Amesema Chuo kimeendelea Kuenzi misingi ya Uongozi na Utawala bora, maono ya Mwalimu Nyerere kuhusu kujitegemea. utunzaji wa mazingira kwa ustawi wa jamii na Maendeleo ya kiuchumi.

Aidha ni jambo la kumshukuru Mungu kuwa uongozi wa Taifa la Tanzania umeendelea kuenzi misingi ya Baba wa Taifa kwa kudumisha amani, umoja, upendo na mshikamano katika ujenzi wa Taifa.

Naye Mratibu wa Kituo Cha Ukombozi Barani Afrika, Christopher Mhongole amesema Makongamano ya aina hii yana umuhimu mkubwa sana kwa vijana, kwa kuwa vijana walio wengi hawamfahamu vizuri Baba wa Taifa, badala yake wanamsoma na kusikiliza baadhi ya hotuba zake, hivyo kupitia makongamana ya namna hii yanayofanywa na Chuo yanawasaidia na kuwajenga vijana katika mIsingi na Maadili yanayotakiwa katika Taifa.

“Vijana wengi wa sasa hawakuishi na Mwalimu Nyerere badala yake wamekuwa wakizisikia falsafa za Mwalimu Nyerere kupitia utandawazi na vitabu mbalimbali pekee hivyo makongamano ya aina hii yatasaidia kutoa elimu kwa vijana,”amesisitiza Mhongole.

Hata hivyo Mhadhiri wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Idara ya Jinsia Dkt. Tatu Nyange amesema utafiti alioufanya ambao ameuwasilisha katika kongamano hilo unahusu Uwazi na Uadilifu ni Masuala muhimu katika kuwajengea uwezo vijana na kizazi cha sasa ili kiweze kuendelea na kufikia Maendeleo Endelevu.

You Might Also Like

Jaffo :Wafanyabiashara Tanzania, Iran watakiwa kushirikiana kwa pamoja katika Biashara, Uwekezaji

PURA, M&P zajadili mradi wa uchorongaji visima vya gesi Mnazi Bay

Rais Mwinyi aipongeza Airpay kudhamini tamasha la fahari ya Zanzibar, kusaidia wananchi kupata mikopo kidigitali

Kapinga : Bei ya umeme Tanzania ni nafuu kuliko nchi nyingine Afrika Mashariki

Samia Kalamu Award yasogeza Mbele

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Bandari ya Kilwa kuleta mapinduzi sekta ya uvuvi nchini
Next Article Tanzania, Ufini Kushirikiana Teknolojia Za Kisasa Sekta ya Misitu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?