MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: VETA yawafikia madereva ‘Boda boda’
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > VETA yawafikia madereva ‘Boda boda’
Habari

VETA yawafikia madereva ‘Boda boda’

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), imetangaza fursa ya mafunzo ya udereva wa  pikipiki maarufu kama bodaboda.
Katika taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo imeeleza kuwa, mafunzo hayo yatatolewa kwa gharama ya punguzo ya  sh 30,000 kutoka sh 120,000 ya awali.
“Mafunzo yatakayotolewa ni usalama barabarani, matumizi ya vifaa kinga, udhibiti wa mwendo na matengenezo ya kawaida ya pikipiki , uendeshaji wa dharura na mbinu za kukabiliana na ajali .
” Sheria za udereva na usalama wa abiria, usimamizi wa kifedha na ujasiriamali,” imesema taarifa hiyo.
Taarifa imetaja mikoa itakayotoa mafunzo hayo kuwa ni Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma, Manyara, Tabora, Shinyanga, Simiyu, Tanga, Arusha na Kilimanjaro.
Mafunzo hayo yataanza Oktoba 20 mwaka huu katika vyuo mbalimbali katika mikoa husika.

You Might Also Like

Wananchi Waelimishwe Kuhusu Utendaji wa Kamati za Maadili za Maofisa wa Mahakama

TAKUKURU kuelimisha madhara ya rushwa wakati wa uchaguzi

Mfumo wa Usalama Majumbani, Umewakumbuka Wenye Ulemavu

TEA, Wadau Kuwezesha Matumizi Safi Nishati Ya Kupikia Mashuleni

Tanzania, Comoro Zaongeza Ushirikiano wa Lugha

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Sierra Leone Yaipongeza TARURAUjenzi Wa Madaraja, Barabara Za Mawe
Next Article TARI yapongezwa kwa kuwa na teknolojia bora za kilimo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TSB Yasisitiza Umuhimu Kuwekeza Kwenye Uchakataji Wa Mkonge
Habari July 10, 2025
eGA Yatengeneza  Mifumo  Kurahisisha  Kazi
Habari July 10, 2025
July 10, 2025
Habari July 10, 2025
Wanafunzi, Watafiti, Wanataaluma Kujadili Dini, Utamaduni na Maisha ya Kisasa
Habari July 10, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?