MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Ridhiwani Kikwete aziita sekta binafsi kushirikiana na serikali,  apokea vifaa tiba na madawati kutoka NMB
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Ridhiwani Kikwete aziita sekta binafsi kushirikiana na serikali,  apokea vifaa tiba na madawati kutoka NMB
Habari

Ridhiwani Kikwete aziita sekta binafsi kushirikiana na serikali,  apokea vifaa tiba na madawati kutoka NMB

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Mwandishi Wetu

PWANI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete amepokea msaada wa vifaa tiba kwa ajili ya Hospitali ya Msoga na madawati 120 kwa ajili ya Shule za Msingi mbili za Chalize mkoani Pwani.

Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze ameshukuru kwa msaada huo uliotolewa na Benki ya NMB Chalinze na kushauri sekta binafsi kushirikiana na serikali kutatua changamoto mbalimbali za wananchi.

 

“Kwa mujibu wa takwimu za makusanyo na mapato, NMB- Chalinze ndiyo tawi namba moja Tanzania kwa hiyo maana yake NMB wanapozungumza tunapata Bilioni 500 ni pamoja na mchango mkubwa wa Chalinze,” amesema.

Amesema kwa ushirikiano wa serikali na sekta binafsi kutakuwa na uchumi endelevu, pia sekta hizo binafsi zinarudisha kwa wananchi kile wanachokipata.

Amesema Katika tukio hilo wengine walioshuhudia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Shaibu Ndemanga, Mkurugenzi wa Halmashauri Ramadhani Possi na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze Hassani Mwinyikondo.

Katika utoaji wa msaada huo NMB iliongozwa na Mkuu wa Idara ya Mitandao ya Matawi na Mauzo, Renatus Richard.

 

 

You Might Also Like

JOWUTA Yapokea Cheti Kwenye Uzinduzi Wa Jengo La Biashara TUCTA

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu, Aongoza Harambee Mei Mosi 2026

Ridhiwani Ashiriki Mazishi Ya Mwenyekiti SHIVYAWATA

UDSM,YULHO kujenga kituo cha kupima madini

TEMESA  Yajadhimisha Miaka 20, Yajivunia  Mafanikio  Na Kuahidi  Kuimarisha  Huduma

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Rais Samia Afungua Barabara Ya Mbinga-Mbamba Bay Yenye Km 66-Ruvuma
Next Article Ubovu wa Kituo cha Daladala Bunju Sokoni Watesa Abiria
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Watendaji Wakuu Waagizwa Kuifanya Dira 2050 Kuwa Mwongozo Wa Maamuzi Yao
Habari July 24, 2026
Nchi za SADC Zahimizwa Kuimarisha Umoja Kukabili Changamoto
Uncategorized July 17, 2026
Wananchi Washauriwa Kutumia  Wataalam Wa Ujenzi Kuepuka Madhara
Habari July 14, 2026
July 14, 2026
Uncategorized July 14, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?