MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Trilioni 11.5 Zimetumika Miradi Ya Maendeleo Kigoma
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Trilioni 11.5 Zimetumika Miradi Ya Maendeleo Kigoma
Habari

Trilioni 11.5 Zimetumika Miradi Ya Maendeleo Kigoma

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI Zainab Katimba amesema takribani sh. trilioni 11.5 zimetumika katika ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayoendelea kuunufaisha na kuufungua kiuchumi Mkoa wa Kigoma ndani ya miaka mitatu.

Katimba ameyasema hayo kwa niaba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mohamed Mchengerwa kwenye ziara ya kikazi ya siku mbili ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko mkoani Kigoma.

Amefafanua kuwa katika sehemu ya fedha hizo zaidi ya sh.trilioni moja zinatumika katika ujenzi na upatikanaji wa Nishati ya umeme kutoka Gridi ya Taifa ambao haujawahi kupatikana katika mkoa huo ambao upo Magharibi ya Tanzania ukipakana na nchi jirani za Kongo na Burundi.

 

“Na Leo Naibu Waziri Mkuu umeweka mawe ya msingi katika miradi mitatu ya
umeme katika mkoa wa Kigoma mradi wa uzalishaji wa umeme kutoka katika mto
Malagarasi, mradi wa njia ya kusafirisha umeme na kituo cha kupokea,kupoza na
kusambaza umeme, uwekezaji huu ni mkubwa na ukijumlisha fedha zote za
uwekezaji katika sekta ya nishati ya umeme katika Mkoa wa Kigoma zimekuja
shilingi Trilioni moja na zaidi,” amesema

Akizungumzia miradi ya umeme itakavyonufaisha sekta zilizo chini ya Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Katimba amesema miradi ya umeme inayotekelezwa katika mkoa
huo itakwenda kunufaisha shule za msingi na Sekondari 983 na maeneo ya kutolea huduma za Afya ya msingi 324 ambayo yamewezeshwa vifaa na vifaa tiba
vinayotumia TEHAMA.

“Sisi Ofisi ya Rais – TAMISEMI ni Wizara inayoshughulika kwa kiasi kikubwa kutoa
huduma kwa wananchi mathalani katika sekta ya Elimu mkoa wa Kigoma kuna jumla ya shule za msingi na sekondari 983 na zote zinahitaji nishati ya umeme,” amesema.

Amepongeza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan. anafanya uwekezaji mkubwa na kuhakikisha kunakuwa na
maabara za TEHAMA lakini kwenye sekta ya Afya mkoa wa Kigoma una jumla ya
vituo 324 vya kutolea huduma ya Afya na v vyote vinahitaji Nishati ya
Umeme.

You Might Also Like

Zuhura Yunus Atoa Neno Kwa Madereva 

Shirikianeni kutekeleza majukumu- Possi

Serikali Kulinda Wabunifu Wa Silaha

Dar Sasa Kufanya Biashara Saa 24, Kuanza Februari 22 Mwaka Huu

Rais Samia Afungua Barabara Ya Mbinga-Mbamba Bay Yenye Km 66-Ruvuma

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ujenzi Kiwanda cha Chumvi Waanza Lindi
Next Article Muhimbili yarejesha tabasamu kwa Karume baada ya miaka 25 ya mateso
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?