MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wahandisi 428 Wajengewa Uwezo Kukuza Taaluma
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wahandisi 428 Wajengewa Uwezo Kukuza Taaluma
Habari

Wahandisi 428 Wajengewa Uwezo Kukuza Taaluma

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
KATIBU Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Balozi Aisha Amour ameupongeza Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kusaidia program ya Wahandisi wataraji  wapatao 428 kote nchini ili kupata mafunzo ya kuwajengezea uwezo ili kukuza tasnia yao.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya 21 ya siku ya Wahandisi nchini yanayofanyika Dar es salaam Balozi Amour amesema TARURA inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wahandisi wataraji wapatao 428 wakifuatiwa na TANROADS (251),TTCL(164), RUWASA (156) na TANESCO (126).
“Naipongeza sana TARURA ni Taasisi inayoongoza kwa kuwapokea wanafunzi wengi wanokuwa katika program hii, tatafurahi na Taasisi nyingine nazo kujitokeza”, amesisitiza Katibu Mkuu

You Might Also Like

Watafiti, Wabunifu Waendelezwe Wasivunjwe Moyo- Biteko

Dkt Biteko Awasili Nchini India Kwa Ziara Ya Kikazi

Ubovu wa Kituo cha Daladala Bunju Sokoni Watesa Abiria

Ridhiwan Kikwete atembelea kituo cha kulelea watoto

VETA Yaanzisha Kozi Mpya ya Teknolojia ya Mifumo ya Viwandani

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Bonifas Jacob aahidi  akishinda Uenyekiti Kanda ya Pwani hatakaa ofisini
Next Article Mongela Ajiridhisha Ushindi wa Kishindo , Uchaguzi Serikali za Mitaa,Uchaguzi Mkuu CCM
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?