MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Dhibitini Magonjwa ya Mlipuko-Mchengerwa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Dhibitini Magonjwa ya Mlipuko-Mchengerwa
Habari

Dhibitini Magonjwa ya Mlipuko-Mchengerwa

Author
By Author
Share
2 Min Read
  • Na Mwandishi Wetu
    WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kuhakikisha wanadhibiti magonjwa ya mlipuko ikiwemo ugonjwa wa kipindupindu na homa ya nyani.

Mchengerwa ameyasema hayo wakati wa mkutano wa tathimini ya mkataba wa lishe na kutambulisha mpango wa taifa wa uwekezaji katika afya ya mama na matoto nchini.

Amesema kwa sasa ugonjwa wa kipindupindu umeendelea kuenea na umechukua muda mrefu kudhibitiwa katika mikoa ya Simiyu, Songwe, Mbeya, Mwanza, Tabora, Dodoma, Lindi, Mara, Kigoma, Arusha na Tanga.

“Niwaombe sana wakuu wa mikoa, makatibu tawala wa mikoa, wakuu wa wilaya na watendaji ngazi zote mukawe mstari wa mbele kuudhibidi na kuutokomeza kabisa ugonjwa huu.”

“Mkoa wa Simiyu unaoongoza kwa ugonjwa kuwepo na wagonjwa 25 hadi 40 kwa siku wa kipindupindu, Meatu wako wapi (wanaongoza) nawapa wiki tatu mwende mkamalize kipindipindu na mkasisitize matumizi ya vyoo.”

Kwa mikoa ambayo haijaripoti uwepo wa wagonjwa wa kipindupindu kwa sasa mukaimarishe afua za kujikinga na gonjwa huu wa aibu. Mikoa ambayo haijawahi kuripoti wagonjwa wa kipindupindu ni Mkoa wa Njombe na Iringa.”

Kwa upande wa ugonjwa wa homa ya nyani(M-POX), Mchengerwa ameitaka mikoa yote hasa ya mipakani na inayopokea wasafiri wageni kutoka nchi ziliothibitisha kuwa na ugonjwa huo kuchukua hatua madhubuti za afua za afya kinga ikiwemo kuzingatia kanuni zote za kujikinga na kudhibiti Ugonjwa huu.

“Kwa sasa nchi yetu iko salama hadi sasa dhidi ya Ugonjwa huu ila nawaomba viongozi na watendaji ngazi za mikoa, wilaya na halmashauri mukasimamie kikamilifu afua za afya kinga dhidi ya Ugonjwa wa M-Pox.”

You Might Also Like

Wazazi washauriwa kusomesha watoto useremala

Vyama Vya Wafanyakazi Vihimize Waajiri Kutoa Taarifa WCF, Zinazohusu Wafanyakazi Wanaopata Ajali, Ugonjwa Kazini

Zuhura Yunus Atoa Neno Kwa Madereva 

LATRA CCC Yatoa Angalizo Uhitaji Mkubwa Wa Wasafiri Mwisho Wa Mwaka

Trilioni 1.3  Zatumika Kuboresha Afya Ya Msingi Nchini

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Rais Samia akagua gwaride maalum
Next Article SPIKA asisitiza matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Samia Mgeni Rasmi Siku Ya Mashujaa
Habari July 24, 2025
Mkenda Atoa Tuzo kwa Waajiri Wanaowasilisha Michango kwa Wakati
Habari July 24, 2025
Majaliwa Aomba Watanzania Wapatiwe Mafunzo Belarus Kuendeleza Kilimo
Habari July 24, 2025
Benki Ya Dunia Kujenga Mradi Wa Njia Ya Kusafirisha Umeme Wa KV 400  Kutoka Uganda-Tanzania  
Habari July 23, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?