MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Rais Samia kufungua kikao kazi cha watendaji serikalini
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Rais Samia kufungua kikao kazi cha watendaji serikalini
Habari

Rais Samia kufungua kikao kazi cha watendaji serikalini

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
RAIS  Samia Suluhu Hassan amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mkoani Kilimanjaro.
Samia anaelekea mkoani Arusha ambapo atakuwa mgeni rqsmi katika ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma kitakachofanyika kwenye kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), kesho tAgosti 28, 2024.
Rais Samia ametokea  nchini Kenya ambapo alihudhuria hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya,  Raila Odinga, anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), Agosti 27, 2024

You Might Also Like

Mafua, Kifua Yadaiwa Kusababisha Kifo cha Job Ndugai

Serikali kushirikiana na Wadau usimamizi Taka za Plastiki

TASAC Yapiga Marufuku Kampuni Binafsi Kusafirisha Shehena Hatarishi Za Migodini

Kampuni ya Kichina CCCC yatoa msaada wa vitabu UDSM

UDOM yashauri matumizi ya green house kupata tija

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Asilimia 86.2 ya Wanawake  wanajishughulisha na shughuli za madini
Next Article Rais Samia afungua kikao kazi cha watendaji serikalini
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Madaktari Kutoka Ireland Watoa Matibabu Ya Mifupa Kwa Watoto MOI
Habari October 20, 2025
Mwalim: Nikichaguliwa urais, Kigaila atakuwa Waziri Mkuu wangu
Habari October 20, 2025
ARTICLE 19,  JOWUTA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WANAHABARI
Habari October 18, 2025
Profesa Ndunguru Aongoza Kikao Cha Mawaziri Wa DLCO- EA Akimwakilisha Bashe
Habari October 17, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?