Nenda moja kwa moja kwenye maudhui
November 6, 2026
Habari Lucy Ngowi 4

DKT. Biteko Ashiriki Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia Zanzibar

Na Mwandishi Wetu

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto leo Agosti 23, 2024 ameshiriki Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia linalofanyika katika Hoteli ya Kwanza, Kizimkazi-Zanzibar.

Kabla ya kushiriki Kongamano hilo, Dkt.Biteko alitembelea Mabanda ya Maonesho ya Wadau wa Sekta ya Nishati Safi ya Kupikia ambao wanatoa elimu ya matumizi ya nishati hiyo na teknolojia zake.

Kaulimbiu “Upishi Salama kwa Afya ya Mpishi na kwa Maendeleo ya Jamii”

Je, habari hii ilikusaidia?
Sambaza

Maoni 0

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Acha maoni

Barua pepe yako haitachapishwa. Sehemu zenye * ni lazima.