MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Fikeni kwa wakati CMA, mtatuliwe migogoro ya kikazi – Massawe
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Fikeni kwa wakati CMA, mtatuliwe migogoro ya kikazi – Massawe
Habari

Fikeni kwa wakati CMA, mtatuliwe migogoro ya kikazi – Massawe

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

WANANCHI wametakiwa wanapokumbana na changamoto wawapo kazini, wafike kwa wakati Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), ili waweze kutatuliwa migogoro yao ya kikazi.

Ofisa Mfawidhi Dar es Salaam wa CMA, Yohana Massawe, amesema hayo wakati akizungumza na Mwandishi wa MFANYAKAZI katika Ofisi za tume hiyo

Massawe amesema wananchi wengi wamekuwa na changamoto ya kutofahamu suala la muda wa kupeleka shauri CMA.

“Mashauri yana muda wa kuwasilishwa na yana muda wa kutatuliwa. Lakini wengi wanachelewa na wanaweza kuwa wanachelewa kwa sababu ambazo sio za msingi lakini mwisho wa siku anaweza kuona hatendewi haki.

“Mnapoondoa labda maombi yake kwa sababu atakapowasilisha maombi ya kusikilizwa nje ya muda lazima aeleze sababu za msingi, mwisho wa siku anaweza kuona hatendewi haki.

“Wengi sasa unakuta hawana sababu za msingi inasababisha maombi yale kuondolewa na shauri lake la msingi kutokuweza kusikilizwa,” amesema.

Amesema elimu inapaswa kuendelea kutolewa kwa wananchi kwamba mtu anapopata changamoto asichelewe akakaa na shida, ama mgogoro wake bila kupata utatuzi, bali afike sehemu husika kwa wakati.

Pia amesema wananchi endapo hawataridhika na matokeo yaliyopatikana, kuna Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, lakini kuna Mahakama ya Rufani pia.

You Might Also Like

October 2, 2024

Vumbi la Nyuki Lapewa Uzito Singida: Latajwa Tiba ya Asili Yenye Virutubisho 99

Mitambo 10 Ya Uchimbaji Madini Yenye Thamani Ya Bilioni 10 Yazinduliwa

Wafanyakazi Wapongeza Uzinduzi wa Miongozo, Mifumo ya Kielektroniki ya Ofisi ya Waziri Mkuu

Serikali kushirikiana na Wadau usimamizi Taka za Plastiki

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Tanesco yashauriiwa kuendeleza kasi
Next Article Wafanyakazi waitwa kupeleka changamoto za kikazi CMA
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Fema Mining & Drilling Mfano wa Kuigwa – Musukuma
Habari September 23, 2025
Mgodi Wa Dhahabu Wa Nyanzaga Kunufaisha Wananchi, Ujenzi Wazidi Kupaa
Habari September 23, 2025
Sekta Ya Madini Yazidi Kuchangia Ukuaji Wa Uchumi – Majaliwa
Habari September 23, 2025
Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?