MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tanesco yashauriiwa kuendeleza kasi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tanesco yashauriiwa kuendeleza kasi
Habari

Tanesco yashauriiwa kuendeleza kasi

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi wetu
SHIRIKA  la Umeme Tanzania  (TANESCO) limetakiwa  kuendeleza kasi ya utendaji mzuri katika Utekelezaji wa Miradi ya uzalishaji na Usambazaji  Umeme nchini pamoja na suala zima la Utoaji.
Waziri wa Ujenzi  Innocent Bashungwa amesema hayo leo mara baada ya kutembelea banda la TANESCO katika Mkutano wa 9 wa Wahandisi Wanawake  kwa mwaka 2024.
Bashungwa ambaye ndiye mgeni rasmi katika maonesho hayo, ameelezea kufurahishwa kwake na hatua nzuri zilizofikiwa na TANESCO katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme nchini pamoja na suala zima la Uboreshaji wa utoaji huduma kwa watumiaji wa umeme.
Amesa kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania, Gissima Nyamo-Hanga,  Watumishi walioshiriki Maonesho hayo wamepokea pongezi hizo na kuahidi kuzidisha kasi ya utendaji na utoaji wa Huduma bora kwa Wadau.
Mkutano huo wa Wahandisi Wanawake unakwenda pamoja na Maonesho yanayoshirikisha Taasisi Mbalimbali hapa nchini.

You Might Also Like

ATCL Yaanzisha Safari Za Moja Kwa Moja, Dubai Na Zanzibar

TASU yaiomba serikali inunue kutoa ajira kwa mabaharia

UDOM yashauri matumizi ya green house kupata tija

TPHPA yakusanya zaidi ya sampuli 10,000 za mbegu asili

Serikali Inaendelea Kutekeleza Mradi wa Kupeleka Umeme Grid Ya Mtwara Na Lindi- Kapinga

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wafanyakazi fahamuni vihatarishi sehemu za kazi
Next Article Fikeni kwa wakati CMA, mtatuliwe migogoro ya kikazi – Massawe
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?