MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Dkt  Biteko ashiriki  Kikao Cha Mawaziri  wa Nishati  Uganda
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Dkt  Biteko ashiriki  Kikao Cha Mawaziri  wa Nishati  Uganda
Habari

Dkt  Biteko ashiriki  Kikao Cha Mawaziri  wa Nishati  Uganda

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo Agosti 15 , 2024 ameshiriki kikao cha 19 cha pamoja cha Mawaziri wa Nishati ambao ni Wanachama wa Umoja wa soko la pamoja la kuuziana umeme na kuimarisha mifumo ya Gridi ya EAPP  (Eastern Africa Power Pool) unaofanyika nchini Uganda.
Mkutano huo unajadili masuala mbalimbali ikiwemo kupitisha mabadiliko ya mikataba ya uongozi wa EAPP, kuridhia kanuni za uanzishwaji wa kitengo kinachojitegemea cha kusimamia soko la biashara ya umeme kwa nchi wanachama na kuridhia kanuni na taratibu za uendeshaji wa vikao vya Baraza la Mawaziri, Makatibu wakuu,  na kamati ya uongozi.
Mkutano huo umehudhuriwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki,   Dennis Londo, Katibu Mkuu Wizara ya Nishati,  Felchesmi Mramba, Mkurugenzi wa Shirika la Umeme (TANESCO)  Gissima Nyamo-Hanga, Naibu Mkurugenzi Mipango, utafiti na uwekezaji  Renatha Ndege, na viongozi waandamizi kutoka Wizara ya Nishati na taasisi zake.

You Might Also Like

TDB Yaheshimisha Tasnia Ya Maziwa

Dhibitini Magonjwa ya Mlipuko-Mchengerwa

Makalla Aeleza Jinsi CCM Ilivyosimamisha Nchi Mchakato Kura Za Maoni

Ridhiwani Ashiriki Mazishi Ya Mwenyekiti SHIVYAWATA

Serikali Yazidi Kuhamasisha Nishati Safi, Yatoa Mitungi 225 Kwa Watumishi Gereza kuu Maweni

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wakulima wametakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya mbolea
Next Article Uchaguzi Serikali Ya Mitaa kufanyika Novemba 27
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Singida Yapokea Zaidi Ya Milioni  Moja 
Habari July 5, 2025
THBUB Mdau Mkubwa Utekelezaji Wa Majukumu 
Habari July 5, 2025
NBS: Utumiaji Wa Takwimu Nyenzo Muhimu Kwa Mama Lishe
Habari July 5, 2025
FCC Yatoa Elimu Ya Ushindani Wa Kibiashara Katika Maonesho Ya  Biashara
Habari July 5, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?