MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Shemdoe apongeza
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Shemdoe apongeza
Habari

Shemdoe apongeza

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
KATIBU Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Profesa Riziki Shemdoe amempongeza Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Immaculate Semesi kwa utendaji na utekelezaji wa mikakati yenye kuleta tija katika suala zima la  Usimamizi na Uhifadhi wa mazingira kwa maendeleo endelevu ya Nchi.
Profesa. Shemdoe amezitoa pongezi hizo alipotemblelea banda la NEMC katika maonesho ya wakulima ( Nanenane) yenye kaulimbiu isemayo ” Chagua viongozi bora wa Serikali za Mitaa kwa maendeleo endelevu ya kilimo, mifugo na uvuvi”.
Shemdoe pia  ameelezwa mikakati endelevu yenye kuleta tija katika suala zima la  Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira nchini.
Profesa Shemdoe amesema ” NEMC mmepata kiongozi mzuri, ni mtendaji, mtekelezaji na mfuatiliaji wa mambo, hakika  mazingira yapo salama chini ya NEMC,”

You Might Also Like

TFS Yang’ara Kitaifa Yashinda Tuzo ya Umahiri Uhifadhi Misitu Na Bayoanuai

Simbachawene: Nitaheshimu Mfumo Wa Uongozi Na Kushirikiana

Waziri Mkuu Majaliwa Amwakilisha Dkt.Mpango Mahafali Ya 43 OUT

OCPD Yakabidhi Juzuu Mpya za Sheria kwa Ofisi ya Taifa ya Mashitaka

PSSSF MSHINDI WA KWANZA TUZO ZA UANDAAJI BORA MAHESABU ZA NBAA, 2023

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article NIT yawapika vijana
Next Article Mkuu wa Mkoa akabidhi matrekta kwa wakulima kutoka Pass Leasing
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nchi za SADC Zahimizwa Kuimarisha Umoja Kukabili Changamoto
Uncategorized July 17, 2026
Wananchi Washauriwa Kutumia  Wataalam Wa Ujenzi Kuepuka Madhara
Habari July 14, 2026
July 14, 2026
Uncategorized July 14, 2026
TANESCO Kutambulisha Mfumo Wa Kufunga Nyaya Kwenye Nyumba Ukifuatilia Matumizi Ya Umeme
Habari July 13, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?