MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Kampeni ya Mama Samia imewafikia zaidi ya watu 4000 mikoa saba
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Kampeni ya Mama Samia imewafikia zaidi ya watu 4000 mikoa saba
Habari

Kampeni ya Mama Samia imewafikia zaidi ya watu 4000 mikoa saba

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA: KAMPENI ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mpaka sasa imehudumia wananchi zaidi ya 4000 katika mikoa saba hapa nchini, waliokuwa na changamoto mbalimbali za kisheria katika jamii.
Aidha toka Agosti Mosi, 2024 maonesho yalipoanza ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi mkoani Dodoma kampeni hiyo imefanikiwa  kusikiliza migogoro 26.
Kaimu Mkurugenzi Kitengo cha Huduma cha Msaada Kisheria kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Ester Msambazi amesema hayo katika maonesho hayo yanayoendelea jijini Dodoma.
Msambazi ambaye pia ni Msajili wa Mashirika yanayotoa huduma ya msaada wa kisheria, ametaja huduma zinazotolewa kuwa ni ushauri wa kisheria pamoja na kuwaandalia wananchi nyaraka za kisheria ili waweze kuwasilisha mahakamani.
Pia kutoa elimu kwa makundi yanayowatembelea wakiwemo wanafunzi, wanawake wa vikundi vya kiuchumi, kusikiliza migogoro ya mtu mmoja mmoja ambapo toka maonesho yameanza wameshasikiliza migogoro 26.
“Migogoro hiyo inahusu ardhi, mirathi, ndoa, matunzo ya watoto na migogoro mingine. Kwa hiyo tunatoa rai kwa wananchi wa Dodoma na mikoa jirani wafike katika banda wapate elimu ya msaada wa kisheria,” amesema.
Amesema huduma hizo za kisheria zinagharimiwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

You Might Also Like

COSTECH Yasaini Mkataba Ujenzi Jengo La Sayansi, Teknolojia, Ubunifu

Taasisi za Elimu Geita Zatakiwa Kuanza Programu ya Maziwa Shuleni

SADC Yasisitizwa Kuhusu Safari ya Ukombozi wa Kiuchumi

Spika Zungu Atangaza Kifo Cha Mbunge Wa Peramiho, Jenista Mhagama

Afrika yatakiwa kutokuwa na Matabaka katika kutekeleza AFCFTA 

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Makumbuli: Tunapinga kilimo cha bangi na mirungi
Next Article Changamoto ya uelewa mwiba kwa wasafirishaji Comoro
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Serikali Yatoa Mwelekeo Maandalizi AFCON 2027, Yaimarisha Miundombinu Nchini
Habari April 17, 2026
Makampuni 100 kushiriki maonesho ya OSHA Njombe
Habari April 17, 2026
Ufaulu  Wa   Somo La Hisabati  Shida Ya Taifa- Wanu
Habari April 16, 2026
Ofisi ya Rais Mipango Yaomba Bilioni 144.85 kwa Bajeti 2026/27
Habari April 16, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?