MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tanzania,  na Taasisi ya BVGH kuimarisha huduma za saratani
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tanzania,  na Taasisi ya BVGH kuimarisha huduma za saratani
Habari

Tanzania,  na Taasisi ya BVGH kuimarisha huduma za saratani

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
SERIKALI ya Tanzania imeingia makubaliano ya ushirikiano na Taasisi ya Bioventure for Global Health (BVGH) ya nchini Marekani ili kuimarisha huduma za Saratani nchini Tanzania.
Makubaliano hayo yamefikiwa  katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Jijini Washington DC nchini Marekani na kushuhudiwa na Waziri wa Afya wa Tanzania  Ummy Mwalimu  na Balozi wa Tanzania nchoni Marekani, Dk Elsie Sia Kanza.
Ushirikiano huo kati ya Wizara ya Afya na Taasisi hiyo, unalenga kuimarisha huduma kwa kutoa fursa za mafunzo kwa watalaam wa saratani wakiwemo madaktari bingwa na wabobezi katika huduma za mionzi.
Aidha mradi huo pia utatoa fursa kwa ajili ya tafiti katika huduma za Saratani, kuimarisha miundo mbinu ya huduma za saratani na kuwezesha upatikanaji wa dawa za saratani kwa gharama nafuu kwa watanzania.
Akiongea baada ya kusainiwa makubaliano hayo, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema Serikali ya Awamu ya sita chini ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuboresha huduma za Saratani zinapatikana kwa urahisi kwa watanzania ili kupunguza vifo vitokanavyo na Saratani.
Naye Mkurugenzi wa Taasisi ya BVGH  Jennifer Bent baada ya kusaini makubaliano hayo alielezea kufurahishwa kwake na utayari wa Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi hiyo pamoja na namna ambavyo serikali imedhamiria kukabiliana na ugonjwa huu wa Saratani nchini. ‎wishoo

You Might Also Like

FCC Yawavutia Wawekezaji Kwenye Maonesho Ya IATF Nchini Algeria

TEA, UNICEF na Canada waendeleza mageuzi ya elimu Sikonge

Miaka Minne Ya Samia, TANESCO Yajivunia Kudhibiti Upotevu Wa Umeme

NBS: Utumiaji Wa Takwimu Nyenzo Muhimu Kwa Mama Lishe

TFS Yashiriki Maonesho ya Nane ya Madini Geita

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TASU yaiomba serikali inunue meli kutoa ajira kwa mabaharia
Next Article Uwepo mwongozo kupima wagonjwa zaidi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

CAG Aipongeza TARURA Kwa Ujenzi Wa Miundombinu
Habari January 9, 2026
Tuna Deni La Kusimamia Miradi Na Kusikiliza Kero za wananchi Ili Kuleta Maendeleo Ya Kweli-Salome
Habari January 9, 2026
Rais Dkt Samia Azindua Majengo Ya Kisasa
Habari January 8, 2026
TEA, UNICEF Watekeleza Miradi ya Elimu Visawani Zanzibar
Habari January 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?