MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Kanisa lakabidhi jengo la watoto la milioni 595 kwa serikali
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Kanisa lakabidhi jengo la watoto la milioni 595 kwa serikali
Habari

Kanisa lakabidhi jengo la watoto la milioni 595 kwa serikali

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
KANISA la Watakatifu wa Siku za Mwisho limekabidhi jengo lenye thamani ya sh milioni 595 la kuhudumia watoto lililopo Kituo cha Afya Kimara kwa Wilaya ya Ubungo Dar es Salaam.
Akikabidhi jengo hilo lililopo ghorofa ya pili katika Kituo hicho,  Rais wa kanisa hilo, Juventinous Rubona amesema msaada huo wa ujenzi ni zaka zinazotolewa na waumini wa kanisa hilo
Rubona amesema ujenzi wa ghorofa hiyo ya watoto ulianza mwaka jana kwa kuanza na ngazi zilizogharimu sh milioni 115, kisha ghorofa hiyo iliyogharimu sh milioni 480.
“Mafanikio haya yanatokana na serikali kutoa uhuru wa kuabudu ikiwa ni pamoja na kuruhusu kutoa huduma hii ya kijamii,” amesema.
Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Dk Felister Kimolo amesema,” Ni furaha kubwa kupokea mradi huu uliogharimu kiasi kikubwa cha fedha. Ulianza mwaka jana sasa umekamilika,”.
Kwa upande wake Mganga Mfawidhi wa kituo hicho, Dk Malamla Chaulenzi amesema zaidi ya wananchi 100,000 wa Kata ya Saranga wanatibiwa katika kituo hicho.
Amesema kati ya wananchi 450 hadi 600 wanahudumiwa kwa siku, kati ya wanawake 15 mpaka 25 wanajifungua kwa siku, na kila wiki wanapeleka rufaa nne za watoto katika hospitali ya Mloganzila, ndipo wakaona waandike andiko la kuomba jengo hilo kwa ajili ya kuhudumia watoto wadogo hasa wachanga.
Kwa upande wake, Mwenyekiti Kamati ya kusimamia kituo hicho, Thomas Mbogo amelishukuru kanisa hilo kwa msaada huo kwa jamii.

You Might Also Like

TRAWU yapigania mkataba hali bora za kazi miaka 11 sasa

MOI Yaokoa Bilioni 150 Matibabu Ya Kibingwa

JOWUTA : Waandishi Vitendeeni Haki Vyama Vyote

Wapongeza Nyongeza Ya Likizo Kwa Aliyejifungua Mtoto Njiti

RC Serukamba Aiunga Mkono REAUgawaji Wa Mitungi Ya Gesi Iringa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Pata habari za magezeti ya leo tarehe 13 Julai 2024, Raisi Samia aanza ziara Katavi
Next Article Wiki ya kudhibiti bidhaa bandia kuhitimishwa DSM
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

‘Jichunge’ Programu Ya Simu Yenye Mafanikio Katika Kuboresha Matumizi Ya Dawa Kinga Dhidi Ya VVU
Habari July 7, 2025
Toleo La Sheria Zilizotafsiriwa Kwa Kiswahili Kutoka Agosti
Habari July 7, 2025
Waendelezaji Majengo 103 Kesi Ziko Mahakamani, -AQRB
Habari July 6, 2025
TSB Yatangaza Fursa Za Kilimo, Uwekezaji Wa Mkonge
Habari July 6, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?