MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Nchi za SADC Zahimizwa Kuimarisha Umoja Kukabili Changamoto
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Uncategorized > Nchi za SADC Zahimizwa Kuimarisha Umoja Kukabili Changamoto
Uncategorized

Nchi za SADC Zahimizwa Kuimarisha Umoja Kukabili Changamoto

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

NCHI wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimehimizwa kuimarisha umoja na ushirikiano ili kukabiliana na changamoto zinazoibuka duniani zinazoweza kuathiri usalama na uchumi wa ukanda huo.

Wito huo umetolewa Julai 16, 2026 mjini Salima, Malawi, wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 28 wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC.

Habari Picha 12873

Ujumbe wa Tanzania umeongozwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (EAC), James Millya, akifuatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud.

Katika mkutano huo, Tanzania imesisitiza umuhimu wa kuwa na mkakati madhubuti wa kubaini mapema viashiria vya uvunjifu wa amani na vihatarishi vya uchumi ili kuimarisha amani na usalama katika nchi za SADC.

Habari Picha 12874

Mwenyekiti wa mkutano huo ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Malawi, George Chaponda, amesema pamoja na mafanikio yaliyopatikana katika kuimarisha mtangamano wa kikanda na utawala bora, bado kuna umuhimu wa kuendeleza ushirikiano na majadiliano kwa manufaa ya wananchi wa SADC.

Mkutano huo ulioanza Julai 13, 2026 katika ngazi ya Makatibu Wakuu unajadili masuala ya amani, usalama, demokrasia, utawala bora na maendeleo endelevu kwa lengo la kuhakikisha Kanda ya SADC inaendelea kuwa tulivu na salama.

Habari Picha 12875

You Might Also Like

Wasira akipongeza Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere  kwa kuenzi Falsafa za Baba wa Taifa

OUT: Elimu Sasa Kiganjani

GWSON yawakumbuka watoto wenye vichwa vikubwa,mgongo wazi kumbukizi ya Mwl.Nyerere

Wananchi Wachagua Viongozi Serikali Za Mitaa

Dkt.Mpango ataka Afrika kuunganisha nguvu uendelezaji wa Jotoardhi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wananchi Washauriwa Kutumia  Wataalam Wa Ujenzi Kuepuka Madhara
Next Article Watendaji Wakuu Waagizwa Kuifanya Dira 2050 Kuwa Mwongozo Wa Maamuzi Yao
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mradi Wa Umeme Mpomvu-GGM Kuimarisha Upatikanaji Wa Umeme Na Kuchochea Shughuli Za Kiuchumi Geita- Salome
Habari September 4, 2026
Wahitimu 794 Wa Vyuo Vya Elimu Ya Juu Waomba Kujiunga VETA
Habari September 4, 2026
Taka za saluni zageuka dhahabu ya kijani: COSTECH yamulika safari ya David kutoka wazo hadi hataza
Makala September 4, 2026
Umeme Kubadilisha Maisha Ya Wakazi Wa Kisiwa Cha Jibondo Mafia
Habari September 3, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?