MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Biashara 15 Hazitakiwi Kufanywa Na Wageni Ndani Ya Nchi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Biashara 15 Hazitakiwi Kufanywa Na Wageni Ndani Ya Nchi
Habari

Biashara 15 Hazitakiwi Kufanywa Na Wageni Ndani Ya Nchi

Author
By Author
Share
3 Min Read
Na Lucy Lyatuu,Dodoma
WIZARA ya Viwanda na Biashara imeeleza kuwa raia wa kigeni hawaruhusiwi kujihusisha na biashara 15 zinazostahili kufanywa na watanzania ikiwa ni hatua za kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara nchini.
Waziri wa Viwa da na Ujenzi,Judith Kapinga amesema hayo jijini hapa wakati akiwasilisha bajeti ya Wizara hiyo Bungeni na kuongeza kuwa katika mwaka 2025/2026 Wizara imefanikiwa kudhibiti raia wa kigeni kufanya biashara zinazostahili kufanywa na Watanzania kupitia Tangazo la Serikali Na. 487A la tarehe 28 Julai, 2025.
Amesema tangazo hilo linatoa katazo kwa raia wa kigerni kujihusisha na biashara 15 zinazostahili kufanywa na Watanzania.
Amezitaja biashara hizo ni pamoja na uUzaji wa bidhaa kwa jumla na rejareja, huduma za watalii wa ndani, huduma za fedha kwa njia ya simu (Mawakala), saluni, usafirishaji wa mizigo, uuzaji wa vinyago, uchimbaji mdogo wa madini, uanzishaji na uendeshaji wa vituo vya redio na runinga, uendeshaji wa viwanda vidogo, kampuni za huduma ya usafi na uuzaji wa nyumba na viwanja.
Amesema katika utekelezaji wa Sheria ya Katazo hilo, Wizara kwa kushirikiana na mamlaka mbalimbali imechukua hatua madhubuti za kisera, kisheria na kiutendaji ambapo hadi kufikia Aprili, 2026, Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imezuia uhuishaji wa leseni za biashara 907.
 Amesema Kati ya hizo, leseni 737 ni za biashara za uingizaji na uuzaji wa bidhaa, leseni tano  katika huduma za posta na utoaji wa vifurushi ndani ya mipaka ya itaifa, leseni 119 za uwakala au udalali katika biashara na sekta ya mali isiyohamishika na leseni 46 za huduma ya utoaji na usafirishaji wa shehena.
Kapinga amesema hatua hii imerejesha imani ya wazawa kwa Serikali kwa namna inavyosaidia kutatua changamoto za kibiashara; imeboresha mazingira ya biashara kwa wazawa na hivyo kuongeza uwekezaji kwenye biashara; na imeongeza uwezo wa ushindaji kwa wazawa kwenye biashara. Katika kuboresha utekelezaji wa katazo hilo, Serikali imefanya marejeo na kuandaa rasimu ya katazo ambayo ipo katika hatua ya uidhinishwaji.
 Amesema amesema hadi kufikia Aprili, 2026, jumla ya maombi 373 ya vibali vya kazi kwa raia wa kigeni wanaokuja kufanya kazi nchini katika tasnia ya biashara hayakuidhinishwa kutokana na kutokukidhi vigezo vilivyowekwa kwa mujibu wa Sheria.
Amesema Vilevile, Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam na Mbeya zimezuia uhuishaji wa leseni za biashara 191 kwa biashara ya uuzaji wa bidhaa kwa jumla, uuzaji wa bidhaa kwa rejareja, uchimbaji mdogo wa madini na biashara ya maghala/stoo ambazo zinamilikiwa na wafanyabiashara/kampuni wasio raia wa Tanzania kwa kuzingatia amri iliyotolewa.
Ameongeza kuwa Biashara 13 kati ya 191 zilizozuiwa kuhuishwa au kupewa leseni zilikuwa katika eneo la kariakoo.

You Might Also Like

TARI Yawafikia Wakulima Kilosa, Kilimo Shadidi Cha Mpunga

Spika Mussa Zungu Atoa Hotuba Baada Ya Kuchaguliwa

Kamishna TRA Atua Kwa Malasusa Kushirikiana Elimu Kwa Mlipa Kodi

SUA Chatumia Ngamia Mafunzo Ya Vitendo Kwa Wanafunzi

WCF Yatakiwa Kuongeza Nguvu Kusajili Waajiri

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wadau wataka mifumo jumuishi kupunguza mzigo wa malezi kwa wenye ulemavu
Next Article Wizara Ya Viwanda Kutekeleza Vipaumbele Saba, Ipo  Miradi Ya Viwanda Ya  Kimkakati
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Wizara Ya Viwanda Kutekeleza Vipaumbele Saba, Ipo  Miradi Ya Viwanda Ya  Kimkakati
Habari May 22, 2026
Wadau wataka mifumo jumuishi kupunguza mzigo wa malezi kwa wenye ulemavu
Habari May 21, 2026
Wabunge Waitaka Ujenzi Kuwa Na Mageuzi Makubwa Ya Ujenzi Wa Barabara
Habari May 21, 2026
Wizara Ya  Ujenzi Kutekeleza Vipaumbele Sita,Ujenzi Wa Miundombinu
Habari May 20, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?