MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wizara Ya  Ujenzi Kutekeleza Vipaumbele Sita,Ujenzi Wa Miundombinu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wizara Ya  Ujenzi Kutekeleza Vipaumbele Sita,Ujenzi Wa Miundombinu
Habari

Wizara Ya  Ujenzi Kutekeleza Vipaumbele Sita,Ujenzi Wa Miundombinu

Author
By Author
Share
3 Min Read
Na Lucy Lyatuu, Dodoma
WIZARA  ya Ujenzi imeliomba Bunge kuiidhinishia Sh trilioni 2.5 kwa mwaka wa fedha 2026-2027  kwa ajili ya kutekeleza Vipaumbele sita ambavyo vitajikita katika ujenzi wa miundombinu na barabara.
Aidha imesema Serikali itaendelea na ujenzi pamoja na ukarabati wa barabara kuu na za mikoa kwa kiwango cha lami na changarawe ili kuchochea ukuaji wa uchumi na kurahisisha huduma za usafirishaji kwa wananchi.
 Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema hayo bungeni wakati akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo na kuongeza kuwa  Serikali itaendelea kuwekeza katika ujenzi wa madaraja makubwa na ya kimkakati pamoja na kuimarisha mtandao wa barabara ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za usafiri katika maeneo yote ya nchi.
Habari Picha 12158
Amesema miradi hiyo inalenga kupunguza changamoto za usafiri hususan katika maeneo yanayokumbwa na kukatika kwa mawasiliano wakati wa mvua, kupunguza gharama za usafirishaji na kuongeza ufanisi wa usafirishaji wa bidhaa na huduma.
Ulega amesema Serikali pia itaendelea kujenga miundombinu yenye uwezo wa kuhimili athari za mabadiliko ya tabianchi kwa kutumia teknolojia na viwango vya kisasa katika ujenzi wa madaraja, barabara na vivuko.
Aidha, amesema uwekezaji katika miundombinu utafungua fursa zaidi za kiuchumi kwa kuunganisha maeneo ya uzalishaji na masoko, kuimarisha sekta za kilimo, utalii, biashara na viwanda pamoja na kuongeza ushindani wa Tanzania katika biashara za kikanda na kimataifa.
Habari Picha 12159
Amesema lengo ni kuwa na miundombinu ya kisasa, salama na yenye kuaminika ambayo itaendana na kasi ya ukuaji wa uchumi na mahitaji ya wananchi.
Kuhusu vipaumbele amesema serikali  itaendelea na ujenzi wa madaraja makubwa, madaraja madogo na makalavati katika maeneo mbalimbali nchini kwa lengo la kuimarisha mawasiliano na usafiri kati ya mikoa na wilaya.
Aidha, wizara hiyo itaendelea kufanya matengenezo ya barabara na madaraja yaliyopo ili kuhakikisha miundombinu hiyo inakuwa salama, imara na kudumu kwa muda mrefu kwa watumiaji wote wa barabara.
Ulega amesema kipaumbele kingine  ni  kukamilisha miradi ya dharura ya miundombinu iliyoharibiwa na mvua za El-Nino pamoja na Kimbunga Hidaya ili kurejesha huduma za usafiri katika maeneo yaliyoathirika.
Habari Picha 12160
Waziri huyo amesema pia wizara itaendelea kufanya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina wa miradi mipya ya barabara na madaraja ili kuweka msingi wa utekelezaji wa miradi mikubwa ya baadaye.
Pamoja na hilo, Serikali imeweka mkazo katika kupunguza msongamano wa magari katika majiji makubwa hususan Dar es Salaam na Dodoma kupitia upanuzi wa barabara, ujenzi wa flyovers na barabara za mzunguko.

You Might Also Like

Stamico Yapewa Tuzo Na FDH Kujali Wenye Ulemavu

BoT Yarahisisha Uuzaji wa Dhahabu kwa Wachimbaji, Yatoa Punguzo La Mrabaha

TPHPA Yaendelea Kutoa Elimu YA Matumizi Salama Ya Viuatilifu

TRA Kuzindua Boti Za Kisasa Kudhibiti Bidhaa Hatarishi

Wahitimu 3,561 wa Mafunzo Ya Huduma Za Afya Ngazi Ya Jamii,Wapatiwa Vitendea Kazi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wizara ya Maji: Uhifadhi Ziwa Victoria Unahitaji Ushirikiano, Uwekezaji Endelevu
Next Article Wabunge Waitaka Ujenzi Kuwa Na Mageuzi Makubwa Ya Ujenzi Wa Barabara
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Wadau wataka mifumo jumuishi kupunguza mzigo wa malezi kwa wenye ulemavu
Habari May 21, 2026
Wabunge Waitaka Ujenzi Kuwa Na Mageuzi Makubwa Ya Ujenzi Wa Barabara
Habari May 21, 2026
Wizara ya Maji: Uhifadhi Ziwa Victoria Unahitaji Ushirikiano, Uwekezaji Endelevu
Habari May 20, 2026
MAIPAC NA THRDC Watoa Mafunzo Kwa Waandishi Wa Habari Za Mazingira, Kanda Ya Ziwa
Habari May 20, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?