MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Kisima Kimoja Cha Gesi Chaonesha Mshangao Kwa Uzalishaji Wa Gesi-PURA
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Kisima Kimoja Cha Gesi Chaonesha Mshangao Kwa Uzalishaji Wa Gesi-PURA
Habari

Kisima Kimoja Cha Gesi Chaonesha Mshangao Kwa Uzalishaji Wa Gesi-PURA

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Lucy Lyatuu,Dodoma
MAMLAKA Ya Udhibiti Mkondo Wa Juu Wa Petroli (PURA) imesema imekamilisha uchimbaji wa kisima kimoja cha uchimbaji gesi cha Mnazi Bay Mtwara ambacho kimeonesha maajabu kwa kuwa na uwezo wa kuzalisha gesi futi za ujazo milioni 45 Kwa siku.

Habari Picha 11856

Mkuu wa Kitengo Cha Ushirikishwaji wazawa na  Uhusishwaji wadau kutoka PURA,Charles Nyangi amesema hayo wakati akitoa taarifa Kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, anayeshughulikia mafuta na Gesi asilia Dkt James Mataragio alipotembelea Banda la Mamlaka hiyo katika wiki ya Nishati inayoendelea katika viwanja vya Bunge.

Amesema uchimbaji wa visima ni hatua iliyokuwa ikitekelezwa na Mamlaka hiyo na kwamba kisima hicho kilichokamilika awali kilitarajiwa kuzalisha futi za ujazo milioni 20 Kwa siku jambo ambalo limekuwa ni tofauti na matarajio.
“Imekuwa ni mshangazo mkubwa kwetu, na hii ndio inaonyesha kuwa ipo akiba kubwa ya gesi nchini,” amesema Nyangi na kuongeza kuwa kisima lingine linaendelea na hatua za uchimbaji.

Habari Picha 11857

Amesema kisima hicho kimebakia mita 1500 kukamilika na kwamba hatuabalimbali za utafiti wa gesi zinaendelea katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
ipo akiba kubwa ya gesi,ikiwa ni baada ya kukamilika

You Might Also Like

Kasulu Yaandaa Bonanza La Michezo Kuhamasisha Uchaguzi Mkuu, Mapokezi Ya Mwenge

Rais Samia kufungua kikao kazi cha watendaji serikalini

Zabibu Ya Makutupora Nyekundu Yatajwa Kuwa Ya Kipekee Duniani

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu, Aongoza Harambee Mei Mosi 2026

Aprili 2025 Matokeo Awamu Ya Kwanza, Maoni Dira Ya Taifa Na Maendeleo 2050 Kutolewa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Serikali Yatoa Mwelekeo Maandalizi AFCON 2027, Yaimarisha Miundombinu Nchini
Next Article ‘Upungufu wa Wakunga Afrika Watishia Maisha ya Mama na Mtoto ‘TAMA
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Kisima Kimoja Cha Gesi Chaonesha Mshangao Kwa Uzalishaji Wa Gesi-PURA
Habari April 22, 2026
‎ ‎EWURA  Yatoa  Leseni Za Mafundi Umeme  Zaidi Ya 1000
Habari April 21, 2026
Wizara Ya Nishati Kutekeleza Dira Ya Taifa 2050,Kuhamasisha Matumizi Ya  Nishati Safi
Habari April 21, 2026
Mandingo: Jiungeni Mkunga Marathon Kuokoa Maisha ya Mama na Mtoto
Habari April 21, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?