MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Serikali Yaendelea Kuimarisha Sekta Ya Utalii, Mapato Yaongezeka
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Serikali Yaendelea Kuimarisha Sekta Ya Utalii, Mapato Yaongezeka
Habari

Serikali Yaendelea Kuimarisha Sekta Ya Utalii, Mapato Yaongezeka

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
SERIKALI imesema inaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ya kukuza Sekta ya Maliasili na Utalii ili kuongeza mchango wake katika uchumi wa taifa, ajira na mapato ya ndani.
Akizungumza Bungeni mjini Dodoma wakati wa uwasilishaji wa hotuba ya Mapato na Mwelekeo wa Kazi za Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hatua hizo tayari zimeanza kuleta matokeo chanya.
Kwa mujibu wa Waziri Mkuu, idadi ya watalii waliotembelea hifadhi za taifa imeongezeka kwa asilimia 10.73, kutoka watalii 5,360,247 mwaka 2024 hadi kufikia 5,935,561 mwaka 2025.
Habari Picha 11647
Aidha, mapato yatokanayo na utalii yameongezeka kutoka dola za Marekani Bilioni 3.9 mwaka 2024 hadi kufikia Bilioni 4.4 kufikia Desemba 2025, sawa na ongezeko la asilimia 12.82.
Habari Picha 11648
Katika kikao hicho cha tatu cha Bunge la 13, kilichohudhuriwa pia na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji, Waziri Mkuu alieleza kuwa mafanikio hayo yanachangiwa na juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kukuza sekta hiyo.
Kutokana na mchango huo, Januari 31, 2026, Rais Samia alitunukiwa tuzo ya Kiongozi Mwenye Maono katika hafla ya Serengeti Awards.
Anaripoti Mwandishi Wetu

You Might Also Like

NFRA Yawaalika Wadau Kununua Nafaka kwa Masoko ya Ndani na Nje

Rais Samia awasili Zimbabwe

JKCI Imeona Wagonjwa Zaidi ya Laki Saba Kwa Miaka Minne

Wataalam wa “Visit Finland” Wabadilishana Uzoefu Kutangaza Utalii Duniani 

Mgombea Urais CHAUMMA Ahaidi Soko La Kisasa Feri

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mafunzo ya Usalama wa Mabwawa Kuimarisha Ulinzi wa Mazingira
Next Article TEEA YAOMBA USHIRIKIANO NA WIZARA YA MADINI KUIMARISHA UTUNZAJI WA MAZINGIRA
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

VETA kumpa nafasi Igobeko kuongeza ujuzi na kuwawezesha wengine
Habari August 23, 2026
Airtel Yajenga Darasa La Fursa Katika Shule Ya Sekondari Magaoni,Tanga
Habari August 23, 2026
Bunifu ya dawa ya mayai yapunguza hasara kwa wafugaji wa kuku
Makala August 22, 2026
Dkt Yonaz Awakumbusha Vijana Kulinda Afya Zao Katika Mapambano Dhidi Ya Ukimwi
Habari August 22, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?