MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: MOI Yatoa Huduma Mpya Bobezi Tisa Kwa Mwaka 2025 
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > MOI Yatoa Huduma Mpya Bobezi Tisa Kwa Mwaka 2025 
Habari

MOI Yatoa Huduma Mpya Bobezi Tisa Kwa Mwaka 2025 

Author
By Author
Share
3 Min Read
 Na Lucy Lyatuu,Dodoma
KATIKA  kipindi cha mwaka 2025 Taasisi ya  Mifupa Muhimbili ( MOI ) imeanzisha huduma mpya  tisa za kibobezi ambazo hapo awali ziliwalazimu wagonjwa kuzifuata nje ya Tanzania.
Huduma zilizoanzishwa ni pamoja na
Upasuaji wa ubongo kwa kutumia akili unde ,upasuaji wa mgongo kwa njia ya matundu ,huduma ya kuchukua sampuli za vipimo kwa njia ya matundu, huduma ya kuweka tiba simenti kwenye pingili za mgongo zilizovunjika na huduma ya tiba ya maumivu.
Mkurugenzi Mtendaji wa MOI,Balozi Dkt Mpoki Ulisubisya  amesema hayo wakati akitoa taarifa kuhusu maendeleo ya Taasisi hiyo na kuongeza Huduma nyingine bobezi  iliyotolewani  ya upasuaji rekebishi wa viungo vilivyopooza na huduma ya upasuaji wa uvimbe na ubongo kwa kutumia teknolojia ya fluorescein.
Amesema huduma nyingine ni kuanza kwa wodi mpya za kisasa za premier kwa ajili ya wagonjwa maalum na wakimataifa ili kukidhi mahitaji ya wagonjwa maalum na wakimataifa na
Kuanza kwa mfumo wa kuweka miadi kwa njia ya mtandao.
Dkt Mpoki Ameongeza kuwa Taasisi ya MOI imeendelea kutoa huduma nyingine za kibingwa Bobezi na kupunguza rufaa za kupeleka wagonjwa nje ya nchi ikiwa ni pamoja na upasuaji na uchunguzi wa mishipa ya damu kwenye ubongo bila kufungua fuvu na upasuaji wa Nyonga na magoti wa marudio.
Amesema wagonjwa 31 wa
Matibabu ya kiharusi kwa kupitia mishipa mikubwa ya damu
Upasuaji wa kunyoosha mgongo uliopinda (Kibiongo)
Kuondoa uvimbe kwenye ubongo kupitia tundu la pua, na Huduma ya maumivu sugu ya mgongo.
Amesema pia ipo huduma ya wagonjwa maalum na wagonjwa wa kimataifa, wagonjwa wamehudumiwa kutoka mataifa ya Congo, Comoro, Uganda, South Sudan, Burundi na mataifa mengine nje ya bara la afrika.
Aidha amesema MOI inatoa huduma ya mkono wa umeme na kutengeneza  viungo bandia kwa kutumia teknolojia ya 3D,Upandikizaji wa nyonga bandia, Upandikizaji wa goti bandia,Upasuaji wa magoti kwa njia ya matundu, Upasuaji wa kuondoa vivimbe vya mishipa ya damu kwenye ubongo na
Upasuaji wa mfupa wa kiuno.
Amesema Katika kipindi cha mwaka mmoja, Taasisi ya MOI imefanikiwa kutoa huduma za kibobezi kwa wagonjwa 2,228 ambapo huduma hizo zimeiwezesha MOI kuokoa kiasi kikubwa cha fedha ambazo zingetumika kupeleka wagonjwa nje ya nchi.
Kadhalika amesema MOI Ina mpango wa Kusogeza huduma katika jengo lililokuwa la Hospitalibya Tumaini Upanga,Dar es Salaam ili baadhi ya wagonjwa wa nje waanze kupata huduma katika jengo hilo na kupunguza msongamano MOI.

You Might Also Like

Baraza La Madiwani Lampongeza Rais Samia Kwa Utekelezaji Wa Ilani

Mnyororo wa Biashara Kariakoo Unafanywa Na Wageni

CPC chatambua juhudi za Rais Samia

Wananchi wahamasishwa kuandika historia mpya kupitia kura

Wazalishaji, Waagizaji Mbolea Watakiwa Kuzingatia Afya ya Udongo kwa Tija ya Kilimo

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article VETA Yaondoa Sare Kwa Wanafunzi
Next Article Serikali Yahamasisha  Kuongeza Fursa Za Mafunzo Kwa Vijana
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Serikali Yaweka Mkazo Kufufua Viwanda Musoma Ili Kuongeza Ajira
Habari April 24, 2026
Program Ya Mama Samia Ya Kurasimisha Ujuzi Yazinduliwa
Habari April 23, 2026
TEA, Wizara ya Elimu Zanzibar Kushirikiana Kuimarisha Miradi ya Elimu
Habari April 23, 2026
Bajeti Yadhihirisha Uhakika Wa Nishati Nchini
Habari April 23, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?